jamani...jamani...jamani...jeff... yaani hii neshno itakuua. yaani hata baada ya kufanikiwa kubinjuka ukuta na kukwea grinstendi bado tu wanakustukia. ona sasa wamekunyofoa kwa kuruka ukuta. una nini wewe?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Nikiweza kuhesabu kwa haraka haraka nawaona askari kama watano hivi wakiwa na silaha wakimdhibiti mtu mmoja amabaye sina shaka mmoja wao angeweza kulifanya hilo!!

    Ukakamu na ushirikiano wao ungehamia katika kudhibiti majambazi bila shaka bongo tungeishi kama peponi..

    ReplyDelete
  2. Nikiweza kuhesabu kwa haraka haraka nawaona askari kama watano hivi wakiwa na silaha wakimdhibiti mtu mmoja amabaye sina shaka mmoja wao angeweza kulifanya hilo!!

    Ukakamuvu na ushirikiano wao ungehamia katika kudhibiti majambazi bila shaka bongo tungeishi kama peponi..

    ReplyDelete
  3. gongo imekula mwili wote bwana jeff.

    ReplyDelete
  4. Kaka picha zako ni kiboko, unatisha kwa choice lakini mbona huweki credit ama zote umepiga wewe?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...