jk na fm wakisalimiana jana ikulu, huku rm akisubiri zamu yake wakati wa dhifa kwa heshima ya rais wa komoro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Hii suti ya Mbowe nimeona juzi Brooks Brothers. Ni bei mbaya sana!

    Sio mbaya lakini kuona wapinzani wakijichanganya na viongozi wa chama tawala.

    Idumu Tanzania.

    ReplyDelete
  2. kwa kweli inaleta raha

    ReplyDelete
  3. kikwete kabinuka!

    ReplyDelete
  4. hizi suti za jk anashonewa na fundi kidude wa magomeni, ndio zinamtoa zinamfanya hivyo.

    ReplyDelete
  5. kwa sababu macho yako yamebinuka ndo mana unaona watu wamebinuka.

    ReplyDelete
  6. nasikia raha sana kuona amani inakuwepo namna hii.

    ReplyDelete
  7. kim-binuo cha kitozi...cha doggy doggy..!!!

    ReplyDelete
  8. kwa kua wewe ndo umezoea kubinuliwa ki doggy doggy

    ReplyDelete
  9. haa we umuoni kabinuka kaa wowo yako,, wakati ikipigwa dogidogi.

    ReplyDelete
  10. mimi naona kama ya mamaako na babaako wakakati wanapigwa dogi dogi alafu wewe unajipatia ugali wa siku.

    ReplyDelete
  11. kabinuka mbinuko

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 14, 2006

    HICHO NDIO KIPIMO CHA "IQ"YENU.
    MUNGU BABA MWENYEZI AWALETEE ROHO MTAKATIFU AWAFUNGUE VICHWA VYENU ANGALAU MUWAZE MAMBO MAZURI MACHACHE TU!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...