Home
Unlabelled
shaggy atua bongo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi imekuwaje site yako? Umefanya nini kwenye Template? Chini kabisa ya site yako kuna code fulani zinaonekana!! Rekebisha mambo ndugu, Alafu ata Archives hazionekani!! Alafu comments hazionekani ktk popup window au ndio umependa hivyo?
ReplyDeleteNatumaini utapata suluhisho.
Nashukuru,
©2006 MK
Naona umesharudi mitamboni.
ReplyDeleteNashukuru,
©2006 MK
shaggy amekuja kushaggi mademu sasa,,, chunga sana bwana shaggy bongo kuna gono sugu.
ReplyDeletewewe kijana inaelekea una mawazo mazuri eti ehe? Acha kuwaza uchafu kila wakati. Kamugisha
ReplyDeletekaka michuzi kwenye hilo tangazo nimeona sentensi inayonipa utata.
ReplyDeleteENTRY WILL BE RESTRICTED TO THOSE 18 YEARS AND ABOVE ONLY.
LABDA MIMI NDO SIELEWI INA MAANA WALIO CHINI YA MIAKA 18 NDO WANAORUHUSIWA PEKEE??