mwanamuziki wa jamaica aishiye ughaibuni shaggy katua hapa jana usiku tayari kwa maonesho mawili kesho diamondo jubilei na arusha. leo tunajirusha nae usiku kwenye pati ya utambulisho. subirini snepu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Michuzi imekuwaje site yako? Umefanya nini kwenye Template? Chini kabisa ya site yako kuna code fulani zinaonekana!! Rekebisha mambo ndugu, Alafu ata Archives hazionekani!! Alafu comments hazionekani ktk popup window au ndio umependa hivyo?

    Natumaini utapata suluhisho.

    Nashukuru,
    ©2006 MK

    ReplyDelete
  2. Naona umesharudi mitamboni.

    Nashukuru,
    ©2006 MK

    ReplyDelete
  3. shaggy amekuja kushaggi mademu sasa,,, chunga sana bwana shaggy bongo kuna gono sugu.

    ReplyDelete
  4. wewe kijana inaelekea una mawazo mazuri eti ehe? Acha kuwaza uchafu kila wakati. Kamugisha

    ReplyDelete
  5. kaka michuzi kwenye hilo tangazo nimeona sentensi inayonipa utata.

    ENTRY WILL BE RESTRICTED TO THOSE 18 YEARS AND ABOVE ONLY.

    LABDA MIMI NDO SIELEWI INA MAANA WALIO CHINI YA MIAKA 18 NDO WANAORUHUSIWA PEKEE??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...