Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. tunahitaji kiongozi kama museveni hapa Tanzania,nasi tufanye vizuri kama waganda

    ReplyDelete
  2. Shetani mkubwa wewe unataka kiongozi kama nani? Na wapi, kalale kwa huyo gaidi kivyako hatufagilii wafalme na madikteta Bongo. Tunaye kinara wetu JK nakula Totoz na kazi inaenda.

    ReplyDelete
  3. tabia yake ya kupenda totoz inafanya virusi vinazidi kustawi.
    mwenzake museveni kapambana nao na kaupunguza. museveni ni shujaa mpya wa africa hata hata nyerere alimsifia sana wakati wote.

    ReplyDelete
  4. Huyo anonymous inaonekana haelewi wanasiasa wa kiafrika. Namshauri asome globu yangu atapata ukweli wa Museveni.
    Museveni sio kiongozi mahiri tena.Niko hapa Uganda nakuhakikishia hao Museveni na Mugabe wameshindwa kuonesha mfano wa Nyerere. Mwalimu alikosea sana kupiga picha hiyo na madikteta.
    Tanzania hatuhitaji Museveni hata kwa dawa.Nani kakudanganya Uganda imeendelea kuliko Tanzania?
    Mimi niko hapa naelewa hali halisi, soma globu yangu uone nimemuelezeaje Museveni kwanza.

    ReplyDelete
  5. Innocent, haihitaji kuzunguka sana kujua ubaya wa Museveni na Mugabe. hawa ni viongozi wa piga ua mtu lazima asonge ikulu, aina za maraisi tunazotaka kuzifuta sasa hivi afrika. na Museveni ameanza kampeni ya kuwa raisi wa Afrika Mashariki. anaota kabisa.

    ReplyDelete
  6. innocent-nikipata muda nitasoma blog yako.
    unasema museveni ni dikteta wakati week chache zilizopita ameshinda uchaguzi, sijui una maana gani.au ulikuwa mwangalizi wa kujitegemea na ukaona uchaguzi fake? maana waanagalizi wa kimataifa walikuwepo.
    museveni amefanikiwa sana kuliko viongozi wengi wa africa, kisiasa,kiuchumi na hata kijamii.
    uganda ilikuwa imeoza kabla ajachukua nchi, nadhani unajua historia ya maeneo hayo.
    wamesprint mpaka hata kutupi nchi nyingi tu.
    ,http://www.tanzaniagateway.org/detail.asp?Cat=1463
    ukipata muda jaribu kufungua link hii, unaweza kupata clue.
    kumbuka kupeleka nchi mchakamcha sio udikteta, na ndio JK anakoelekea, kaa chonjo!

    ReplyDelete
  7. Angalieni mnaomsifu Museveni kiuchumi msikute mnadanganywa na Takwimu. Takwimu zinachezewa mno. Chochote kinaweza kutokea kitokee kama unaweza kuzichezea takwimu

    ReplyDelete
  8. unaweza kuwa sahihi bwana nkya kama kweli takwimu zinakuwa tampered.
    basi inawezekana bongo tunafanya vizuri zaidi ya hata India/China na nchi nyingine nyingi tu ila takwimu zinakuwa zinachezewa tu.
    basi na walaaniwe wanaolaghai walimwengu. sio kosa langu.

    ReplyDelete
  9. Ni kweli kama Nkya unavyosema. hizi mambo za takwimu huwa zinachezewa sana. mwaka juzi Mugabe alienda bank kuu na kuwalazimisha wataalamu wacheze na takwimu wakashusha inflation toka 600 % hadi sifuri. halafu hadi mwaka jana kwa kutumia kanuni hiyo hiyo mpya inflation ikapanda chati hadi 600 % tena. ina maaana hapo ikawa kimsingi ni 1200 %.

    nakubali ni vema kulinganisha data na hali halisi. kwa mfano mtu akisemwa kashinda uchaguzi kwa kuwa tu kura zilisema hivyo na kufungia macho rushwa iliyotumika, nguvu za ziada n.k.

    kwangu mie Museveni ninaona alianza vizuri. aliharibu alipodhani ni yeye peke yake aliumbwa kutawala milele. Hata Bwana Beni angemaindi tu kuunganisha angichimsha!

    ReplyDelete
  10. ni kweli kabisa bwana msaki, viongozi wa huko wamezoea kuiba kura au kutumia nguvu za office zao kushinda uchaguzi.
    hata hapa kwetu mambo hayo yapo sana.
    kumbe mugabe anatoa amri bank kuu yske kaa idd amini alivyokuwa anachapisha pesa nyingi.
    basi JK alifanya kosa sana kumualika na kupiga naye picha ikulu yetu.

    ReplyDelete
  11. tatizo letu watanzania tunapenda sana kusifia nchi nyingine na kuziona kuwa ni bora kuliko nchi yetu. tanzania imeendelea kiuchumi na katika nyanja zote kuliko uganda. nina marafiki waganda hapa uk walilaani sana museveni aliposhinda uchaguzi , nakubaliana na aliyesema museveni ni dikteta. adumu jk wetuuu!!!

    ReplyDelete
  12. sio kila kitu alichosema au kukubaliana nacho nyerere ni sahihi

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 13, 2006

    WEWE UKIONASIFA INATOKA KWA MZUNGU UJUE HAPO KUNA WALAKINI,WAZUNGU SIO BINADAMU!HAWASHUGHULIKI NA MNYAMA ASIYEWAPA MAZIWA.VERY SELFISH!
    NINACHOWEZA KUSEMA HAWA WAZEE WAMEJITAHIDI WANACHOHARIBU NI KUTOWAACHIA WENGINE MADARAKA ILI NA WAJIFUNZE MAPUNGUFU YA KIBINADAMU!

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 18, 2006

    Ujamaa bwana,si unaona wazee wanashea kochi doooogo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...