mtangazaji mkongwe nchini julius nyaisanga a.k.a anko j nyaisanga akiimba 'jojina' wa marijani huku mpoki bukuku a.k.a mzee wa sumo wa magazeti ya citizen/mwananchi na emmanuel wa majira/bizinesitaimz wakiitikia usiku wa kuamkia siku ya muungano kule slipway kwenye pati ya waandishi ilodhaminiwa na vodacom

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. anatoa zile za bakulutu sio! kipepeo

    ReplyDelete
  2. Bukuku hapa kalowa jasho kwa kuimbia je likifika sebene akimwaga mauno itakuwaje?eti...........

    ReplyDelete
  3. Sasa hapa nani alikuwa mwimbaji muongozaji, au wote walikuwa katika chorus nawaona wote kwa pamoja kama vile wanaitikia. Inaonesha shuguli hii ilipendeza sana babake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...