bi mkubwa akirejea nyumbani na kuni na kitoweo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Safari bado tunayo, maisha bado ni magumu sana kwa asilimia kubwa ya watanzania. Hizo Millenium Development Goals(MDG), I dont think we are going to achieve. Hapo afike nyumbani aanze kazi ya kutafuta maji ambayo yanapatikana Km kadhaa, mzee si ajabu yupo klabuni anachapa maji. Na kipigo si ajabu kikafuata kama mzee atakuta chakula bado. Waliopo madarakani hawakumbuki kabisa watu wa vijijini, Wabunge wetu wanapata mishahara zaidi ya milioni.

    ReplyDelete
  2. mmh hapa kaka naona kidogo umetereza.hii picha inaonyesha mchango mkubwa wa mama zetu katika nchi yetu.hiyo ishu ya baba yuko kilabuni kaka naona imekaa ki-stigma kwa sababu hapa baba ajaonyesha.why not thinking posotive like baba kaenda kuleta samaki.......positive thinking cures!!!!!!!!....zemarcopolo!

    ReplyDelete
  3. Na huyu ndiye mwana wa shoka!

    ReplyDelete
  4. Huyu bi mkubwa kama sikosei anafanya biashara ya kukaanga samaki...

    ReplyDelete
  5. we are the poorest country in the world but three...........

    ReplyDelete
  6. tanzania sio nchi ya tatu kwa umaskini..je unajua kuwa duniani hakuna kipimo cha umaskini?au tuanze kupeana madarasa ya economy indicators????............zemarcopolo!

    ReplyDelete
  7. Due to the fact that, there's lots of services provided in family level, and is Tanzania is not counted in cash how can we jump to conclude that we're the poorest country?

    ReplyDelete
  8. Tanzania bado kweli watu tunapenda malumbano yasiyo na msingi,picha hii inaonesha jinsi asilimia kubwa ya mama zetu hata dada zetu wanavyotumiwa kama vitendea kazi.namuunga mkono msemaji wa kwanza kua baba yawezekana akawa kilabuni analewa tu,
    ukweli ni kwamba mabadiliko yataishia mijini tu na vijijini asikuambie mtu wanawake wataeendelea kua na hali ngumu mpaka siku wanakwenda kaburini.
    Nancy M

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...