October 30, 1986: bar keys(sasa tanzanites band 'wanakidude') wakiwa simba grill kilimanjaro hotel. mwenye suzi nyeusi ni sajini mstaafu kassim mapili (enzi hizo polisi jazz wana vangavanga na kina moshi william0 na dada ni kida waziri (enzi hizo wa vijana jazz na kina maneti). fide tungaraza a.k.a mtimkubwa mkavu hapo helsinki upoooooo?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hili timu lilikuwa noma kinoma. Jamaa walikuwa wanabaluza siyo mchezo.

    Toka kushoto kwenda kulia nawaona Abraham Kapinga, William (Kizibo) Chiduo, Simon (Shaolin) Chiduo, Mzee Kassim Mapili, Amato Kapinga, Aidan (Pepe) Chanai, Sijali Zua, Yona Mgassa, George Kapinga, John (Stix) Chiduo, John (Vaga) Mhina.

    Tanzanite ni bendi ya tatu kwa uzee nchini Tanzania! Ya kwanza ni Ikhwan Safaa yenye miaka 100, ya pili Msondo yenye miaka 42.

    Kuna siku nitawakusanya kaka zangu hawa kama walivyo sasa pichani ili watupe some things to remember!

    F MtiMkubwa Tungaraza.

    ReplyDelete
  2. Sorry Simon (Shaolin) Kanisa

    F MtiMkubwa Tungaraza.

    ReplyDelete
  3. Yaani habari ndio hii..... ntapata wapi MP3 za Chezimba

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...