wema abdallah wakati huo akiwa na magereza jazz, baada ya kutoka western jazz bendi wana saboso

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Muhidin,

    Leo umenipania mimi nini? Siku ya ufunguzi wa dude langu nilikuwa nimepanga niingie na Vigeregere Ndiyo Furaha ya Western Jazz, wana Saboso.

    Halafu panga pangua katika top ten yangu ya kudumu ya Tanzania Roza ya Western Jazz imo.

    Shukrani sana mshikaji,

    F MtiMkubwa Tungaraza.

    ReplyDelete
  2. Kaka Michuzi ukipata snepu ya Juma Kilaza,Dr Kleruu au Kulwa Salum tuwekee humu.Nina kumbukumbu nyingi sana na hawa jamaa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...