mtoto wa arusha akimuonesha shagi densihoo ya kibongo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. naona shagi kadinda tayari!kmmake walai!

    ReplyDelete
  2. Acha kutukana wewe. Hii Blog inaangaliwa na watoto, Vijana, na Wakubwa sasa jifunze lugha nzuri.

    Nini maana ya kutukana. Umepata nini sasa?

    ReplyDelete
  3. jamni hawa watu wanatuharibia sana watanzania mpaka kinakua kichefuchefu kitupu

    ReplyDelete
  4. we vipi wewe,jamaa hajatukana kudinda sio tusi.
    na wewe ulikua unatafuta nini mpaka ukaona tusi.
    mbona hujatoa cometi yako wala.

    ReplyDelete
  5. Aise bongo tumebarikiwa na totoz.Huyu angevaa mini skirt ingekuwa poa zaidi

    ReplyDelete
  6. Hakuna kitu hapo!! Mtoto wa kawaida sana huyo. Hii ndiyo shida inayotupata wabongo majuu, tumezowea kuona wanawake wabaya kupita kiasi mpaka unaanza kuwaona wazuri. Sehemu kama USA wengi wameoa wanawake wakubwa kama Friji au wanawake waliokwisha zaa watoto wanne, sasa ukiona kitu kama hicho unaona ni baaab kubwa kumbe kawaida tu mwana.

    Babatunde

    ReplyDelete
  7. hii ya Shaggy ni baabkubwa ungeipata mister anonimous unayependa kutukana nadhani ungekufa ghafla maana kitu kinalipa na kimetulia au watoto wa mjini wanasema kimeenda shule.

    Michuzi big up babake maana sijui huwa unakaa wapi hadi unapata picha za nguvu namna hii. Inaonyesha hata unapoingia ndani ya nyumba wewe burudani ya muziki huipati unakuwa uko attention kila wakati kuangalia actions. Big up kwa mara nyingine babake!

    ReplyDelete
  8. kweli kabisa hawa jamaa wanasifi vitu vya ajabu sana.

    ReplyDelete
  9. jamani kila mtu is entitled to their opinion. kama mtu anona mtoto mzuri kwake, feel free kumsifia.

    ReplyDelete
  10. alafu wanajidai wanatesa kumbe wanateseka rudini nyumbani ndo nyie mkirudi nyumbani mnaishia kubaka.

    wanawake wa kawaida sana hawa, basi nyie mnachechetuka.

    poleni wandugu kazi mnayo.

    ReplyDelete
  11. NAONA SHAGI ANAJUTA KUJA BONGO , HIVI JAMANI HUKO TANZANIA UJAMBAZI NA KUIBA NI PART YA MAISHA ? WHICH MESSAGE ARE WE SENDING TO TOURISTS ? Who will prefers to tour a country where they can't assure you security ?

    Mnasema watu waje kufanya nini ? Mtu huna uhakika wa maisha yako , kila mtu anafikiria ni jinsi gani atafanikiwa kwa njia ya kuiba !

    That is totally ridiculuos !!! Tanzania will continue to be poor until that day when her people will change their primitive mentality of thinking.

    ReplyDelete
  12. Question; name a big city that does not have Ujambazi duniani??

    Shagy kwao Jamaica ndio usiseme kabisa.

    ReplyDelete
  13. mhhhhhhh ile patwa ya jamaicans Bongo waliielewa? Simkae nisaidie mambo ya St. Pauls. Hey yo!!!

    ReplyDelete
  14. sasa wewe una maana gani kusema hata jamaica kuna ujambazi? unamaanisha ni sawa kwa mambo yanayoendelea huko?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...