Home
Unlabelled
densihoo ya bongo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
naona shagi kadinda tayari!kmmake walai!
ReplyDeleteAcha kutukana wewe. Hii Blog inaangaliwa na watoto, Vijana, na Wakubwa sasa jifunze lugha nzuri.
ReplyDeleteNini maana ya kutukana. Umepata nini sasa?
jamni hawa watu wanatuharibia sana watanzania mpaka kinakua kichefuchefu kitupu
ReplyDeletewe vipi wewe,jamaa hajatukana kudinda sio tusi.
ReplyDeletena wewe ulikua unatafuta nini mpaka ukaona tusi.
mbona hujatoa cometi yako wala.
Aise bongo tumebarikiwa na totoz.Huyu angevaa mini skirt ingekuwa poa zaidi
ReplyDeleteHakuna kitu hapo!! Mtoto wa kawaida sana huyo. Hii ndiyo shida inayotupata wabongo majuu, tumezowea kuona wanawake wabaya kupita kiasi mpaka unaanza kuwaona wazuri. Sehemu kama USA wengi wameoa wanawake wakubwa kama Friji au wanawake waliokwisha zaa watoto wanne, sasa ukiona kitu kama hicho unaona ni baaab kubwa kumbe kawaida tu mwana.
ReplyDeleteBabatunde
hii ya Shaggy ni baabkubwa ungeipata mister anonimous unayependa kutukana nadhani ungekufa ghafla maana kitu kinalipa na kimetulia au watoto wa mjini wanasema kimeenda shule.
ReplyDeleteMichuzi big up babake maana sijui huwa unakaa wapi hadi unapata picha za nguvu namna hii. Inaonyesha hata unapoingia ndani ya nyumba wewe burudani ya muziki huipati unakuwa uko attention kila wakati kuangalia actions. Big up kwa mara nyingine babake!
kweli kabisa hawa jamaa wanasifi vitu vya ajabu sana.
ReplyDeletejamani kila mtu is entitled to their opinion. kama mtu anona mtoto mzuri kwake, feel free kumsifia.
ReplyDeletealafu wanajidai wanatesa kumbe wanateseka rudini nyumbani ndo nyie mkirudi nyumbani mnaishia kubaka.
ReplyDeletewanawake wa kawaida sana hawa, basi nyie mnachechetuka.
poleni wandugu kazi mnayo.
NAONA SHAGI ANAJUTA KUJA BONGO , HIVI JAMANI HUKO TANZANIA UJAMBAZI NA KUIBA NI PART YA MAISHA ? WHICH MESSAGE ARE WE SENDING TO TOURISTS ? Who will prefers to tour a country where they can't assure you security ?
ReplyDeleteMnasema watu waje kufanya nini ? Mtu huna uhakika wa maisha yako , kila mtu anafikiria ni jinsi gani atafanikiwa kwa njia ya kuiba !
That is totally ridiculuos !!! Tanzania will continue to be poor until that day when her people will change their primitive mentality of thinking.
Question; name a big city that does not have Ujambazi duniani??
ReplyDeleteShagy kwao Jamaica ndio usiseme kabisa.
mhhhhhhh ile patwa ya jamaicans Bongo waliielewa? Simkae nisaidie mambo ya St. Pauls. Hey yo!!!
ReplyDeletesasa wewe una maana gani kusema hata jamaica kuna ujambazi? unamaanisha ni sawa kwa mambo yanayoendelea huko?
ReplyDelete