hili ni kanisa la kilema, marangu, moshi. lina umri wa zaidi ya miaka mia. ndesanjo tujazie zaidi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hili Kanisa lilianza kutumika 1890 na lilifuatiliwa na Kanisa la Kibosho 1893.

    Innocent, hili Kanisa ni la pili kujengwa Tanzania. La kwanza lipo Bagamoyo.

    Hili Kanosa na lile la Kibosho yalisaidia sana kukusa elimu Kilimanjaro na kutunza kumbukumbu za familia nyingi za zamani. yaani mfano ukitaka kupata habari za babu wa bau yako ukienda kwenye Makanisa haya ni rahisi kupata.

    Michuzi ongeza na shule za zamani

    ReplyDelete
  2. Hili kanisa ni kongwe lakini si dhani kama linafikia lile la Kibosho ambalo lina miaka zaidi ya 110.

    Si tu kiumri bali pia hata kiukubwa na hata mjengo wake.

    Michuzi fanya hima siku utembelee kanisa lile ka Kibosho ujionee mwenyewe ni nani imani utabaki hoi.

    Si kwa ukubwa wa kanisa tu hata mazingira yake yatakufanya utafuti bibi wa kuishi nae kibosho.

    Alafu Michuzi asikwambie mtu, wakazi wa Kibosho wanasali sana naisi kuliko watu wengine wote Tanzania hawajali kabisa umande unaokuwepo hasubui saa 11 utakuta kanisa hili limejaa kana kwamba ni siku ya Jpili kumbe ni katikati ya wiki.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 19, 2006

    Mie nalifahamu vizuri ili kanisa usilione kwa nje baya baya,lakini ukiingia kwa ndani ni bomba sana...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...