Home
Unlabelled
kijiwe powa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mabwana fanya na mtapeli!
ReplyDeleteHapo namuona Mzee Castro anamuangalia Rais Mobutu huku akisema kimoyomoyo "..Fala dizaini hii ndiyo Mzee Mwenzangu Che alikuja kuwasaidia.."
F MtiMkubwa Tungaraza
Rekebisho kidogo bwana uliyeandika hapo juu yule mwanamapinduzi Che hakuja kumsaidia fala kama Mabutu ila fala mwingine Laurent Kabila Mungu amtie kidole cha pua huko aliko. Lakini ndio hao hao mafala. Cha kujiuliza hapa je kweli Castro alimvumilia huyu shoga bila kumpa vipande vyake!!!! Anyway Mungu ibariki Afrika wabariki na watu wake. Safari bado ndefu sana.
ReplyDeletewaTZ kwa kutukanaga ongereni, midomo ka imewekwa program kutoa matusi vile.jifunzeni ustaharabu kutoa views zenu sio kutumia matusi mwingine anatumia jina la Mungu na vile vile matusi.Msipo angalia aka katabia katakwenda mpaka kwa watoto wenu shauri yenu.Ustaharabu haufundishwi school.Okeno
ReplyDeletenafikiri mobutu wakati huo alikuwa bado hajaanza kuiba mamilioni.....mwalimu sidhani kama angekuwepo hapo kijiweni. Inanishangaza bado kwa kuwa nilidhani nyerere na mobutu hazijawahi kupanda. Anyway, maybe out of respect kwa castro. Haya sasa ndiyo mambo michuzi tunayategemea, ingawa utashangaa picha kama hizi hazipati comments nyingi kulinganisha na za mabinti.
ReplyDeleteHii picha ina maswali mengi sana, siku chache Michuzi uliweka picha ya Lumumba, na unajua tangu kuuwawa kwa Lumumba nchi kama Cuba na TZ zilishajua kuwa Mobutu kibaraka. Wizi wa pesa sio kitu kilichomfanya Mobutu awe fala haswa ni ule kuwa Kibaraka wa magharibi ndio haswa kitu kibaya sana kuhusu huyu fala. Sasa itakuwa vizuri sana kujua hawa jamaa waliongea nini na huyu punguani hapa. Lumumba alikuwa kiongozi wa kuheshimiwa na wote tangu mwanzo na kuuwawa kwake kulilaaniawa vikali sana na Cuba na nchi nyingine zililaani vikali sana. Sasa kukaa kiti kimoja na huyu juha hawa viongozi wanamapinduzi sijui walikuwa wanaongea naye nini. Mungu ibariki Afrika na watu wake.
ReplyDeletePembe
Ni muhimu ikaeleweka kuwa Gen. Joseph Wa Zabanga (Mobutu) alikuwa kibaraka tu na aliwekwa pale aongoze baada ya wanaume kumaliza kazi, si kweli kuwa yeye ndiye alimuua Lumumba,nafikiri kama kuna Waconco wa kulaumiwa kwa mauaji yake basi ni kina Kasavubu, labda kama mna data mnisahihishe
ReplyDeletekasabuvu alitumika kama sababu tu, si unajua tena magharibi ni 'opportunists', nia ilikuwa kumuondoa lumumba by any means necessary, ilivyotokea kwamba ana tofauti na kasabuvu wakajump in kutimiza matakwa yao.
ReplyDeleteLakini ukiangalia hii picha kwa makini utagundua ilikuwa ni mabishano. Muangalie Nyerere inaonyesha alishamrushia Mobutu point nzito sasa anasikiliza jinsi anavyojitetea. Kaunda yeye anaact kama middle man asionekane amelean zaidi upande mmoja. Castro clearly anaonyesha anatamani ammeze mobutu.
By the way, ni mimi niliyetoa point ya 5:07 PM.
Kwa aliye interested, kuna hii picha ya Nyerere na Nkrumah ya 1965. Link hii chini.
http://cache.gettyimages.com/xc/3199804.jpg?v=1&c=MS_GINS&k=2&d=544D2A87EC7A2E36C868665E5DC50FC2
acheni story fix hakuna mtu yoyote anae fanya kazi cia wala nyie mjasoma somo la kutambua watu wanasema nini ktk picha.hilo somo linafundishwa mwanzo kabla ujakuwa spy sasa acheni story za vijiweni.nyie wajua majina ya watu tu na kutafuta link au mmesoma vitabu vya history.mnasema kibaraka mbona ata viongozi wenu vibaraka au hamjui hilo? nipeni ulinzi nianze kutoa siri zao.
ReplyDeletethick bloggers
ReplyDelete