jose chameleon wa uganda akiwa na meneja wa bia ya safari mama helen sweya na mista naisi dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Hii bia ya safari kiboko, mpaka meneja wake amekuwa na shepu kama ya mwanamume

    ReplyDelete
  2. chamelion upo wapi sasa mbona sikusikii namind sana muziki wako.

    ReplyDelete
  3. we mtu umevaa picha ya huyu mutu alikuja kutuvamia ndugu zetu wengi wakauwawa, ebu vua

    ReplyDelete
  4. Huyu mama meneja hujamuona live ni mzuri sana. Mr nice kidogo ujiweke kiume umekaa ki gay gay.

    ReplyDelete
  5. sasa mista naisi analia au ndio katabasamu?..............mama swea aaaiiiii........!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  6. Khye khye khyeeeeeeeeeeee kwi kwi kwi kwi
    Teh teh teh teh
    Ukisoma maoni ya Anon#1 ukaangalia na hii picha walai utacheka sana
    keeke keeke sina mbavu

    ReplyDelete
  7. mista naisi yuko kama ana mumunya ubuyu

    ReplyDelete
  8. Mwacheni mama Sweya nyie watu!!! Huyu mama ni mtu powaaa sana, and yes, she's not only ultra feminine but also very strong!! Mama Sweya we lava lava you!!

    ReplyDelete
  9. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 27, 2006

    Hakya Mungu nimeshindwa kujizui, huyo Mista Naisi amekaa kishamba na umerekani bubu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...