mapacha kurwa na doto hozza ni wanabendi wa mount usambara inayoongozwa na mzee hozza mwanzilishi wa burudani ya matarumbeta kwenye shughuli mbalimbali

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. jamani mbona hamtoi comments kuhusu hii picha. wamependeza hao.

    ReplyDelete
  2. sure, mi nimewakubali

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 15, 2006

    HICHO NI KIOO AU NI MAYAI?WANANIKUMBUSHA FATHER KANUTI NA TABORA BOYS YA MIAKA ILE YA 80 HADI 90.SI MCHEZO,AMINIAAA!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...