kiti alichokuwa anakalia mwalimu kwenye kanisa la butiama hakikaliwi na mtu, kama cha mama maria, kwa heshima ya hayati baba wa taifa na mjane wake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. NAKUBALIANA NA HILO KABISA!!!! ILA HAYO MATAJI HAYANA CLASS YA MHESHIMIWA HAYATI JKN KWA KWELI TAFUTENI MASHADA MAZURI....AHSANTENI.

    ReplyDelete
  2. sawa kabisa, mzee wa kanisa huyu bwana.

    ReplyDelete
  3. wewe umeona mataji tuu na hayo makochi jeeee?

    ReplyDelete
  4. kwa hiyo mama maria haendi tena kanisani?

    ReplyDelete
  5. hakuwa mungu kama kila mtu akifa viti havikaliwi tena kanisani basi watu wangekuwa wanakaa nje ,au hilo kanisa liachwe makumbusho ili watu wakijatembelea hapo butiama waone kiti cha mwalimu .
    kulindwa ,washington D.C.

    ReplyDelete
  6. kulindwa ulifaulu kwa kiwango gani o level? una uwezo mkubwa sana wa kufikiria....emergencypoison.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 14, 2006

    NYIE KAMA KWENU NYERERE NI "KILA MTU"ENDELEENI NA MAWAZO HAYO HAYO.
    WAO KATIKA MATASHI YAO WAMEONA HIYO INAFAA,NA KWELI INAFAA NI AINA YA HESHIMA YAO KWA MZEE WETU.MUWE MNATAFUTA WATU WA KUTUKANA/KUBWABWAJA-MNA ADABU KWELI NYIE?HASA WEYE UNAYEJIONA UPO WASHINGTON.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 17, 2006

    mama Maria bado anakaa kwenye hicho kiti cha kwake.sasa anayejiona anafaa,akakae yeye!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...