Home
Unlabelled
koet
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hii safi tunaonesha na kuamasisha vijana wetu waendelee kusoma.serikali ikiweza kuwapatia kazi vijana wote wanaoitimu masomo yao basi wangeweza kuleta maendeleo ktk taifa. badala ya kuwaacha vijana wetu kwenda nchi za nje kutafuta ridhiki sasa inabidi kuangalia jinsi ya kuwafanya wabaki nyumbani na kuchangia maendeleo.wapeni vijana kazi.
ReplyDeletenikiangalia hayo majengo mwili wote unakufa ganzi kwa kukumbuka enzi hizo nilizosoma hapo kwa mashaka. Nawakumbuka Ma-Dr waliokuwa vinara wa kukamata enzi hizo ukianzia kwa Chambega, Ishengoma, Mayo, Nyaoro na wengineo.
ReplyDelete