karibu koet

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. hii safi tunaonesha na kuamasisha vijana wetu waendelee kusoma.serikali ikiweza kuwapatia kazi vijana wote wanaoitimu masomo yao basi wangeweza kuleta maendeleo ktk taifa. badala ya kuwaacha vijana wetu kwenda nchi za nje kutafuta ridhiki sasa inabidi kuangalia jinsi ya kuwafanya wabaki nyumbani na kuchangia maendeleo.wapeni vijana kazi.

    ReplyDelete
  2. nikiangalia hayo majengo mwili wote unakufa ganzi kwa kukumbuka enzi hizo nilizosoma hapo kwa mashaka. Nawakumbuka Ma-Dr waliokuwa vinara wa kukamata enzi hizo ukianzia kwa Chambega, Ishengoma, Mayo, Nyaoro na wengineo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...