bosi wa itv na redio wani joyce mhaville akipiga stori na abdulrahman kinana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. huyu Raia wa somalia, arudi kwao

    ReplyDelete
  2. kweli kabisa alafu naroho mbaya sana huyu jamaa ililetwa mashine ya kufulia kwa ajili ya hospitali mountmeru iliyoko arusha jamaa akafungua drycleaner. alafu mnyanyasaji sana,

    hata huyo joyce anaroho mbaya sana sijui ndo wanajadili au wanapanga mbinu za kuzidi kuadhibu watu labda mmoja wao amegundua mbinu mpya.

    ReplyDelete
  3. Joyce tumechoka na dressing yako kila siku kicircle hicho kichwani huna style nyingine ahhhh?

    halafu nasikia mnoko sana plus roho mbaya wewee, wabena hatuko hivyo bwanaa hakuna kabila la kiungwana kama la kibena wewe umetokea kona gani?

    ReplyDelete
  4. This is true shit, Joyce una roho chafu na mbaya sana, nilikuwa nasikia eti wanawake wenye sura mbaya wana roho mbaya pia lakini nikawa siamini, Joyce you have prooved it. Roho yako na unoko wako unafanana na sura yako joyce, I'm a woman just like you but I don't appreciate your attitude towards others, you suck, siongei kwa kusikia toka kwa wengine bali nimeshuhudia mwenyewe, nisingesema yote hayo lakini baada ya kuona jisura lako leo toka kwa kaka Michuzi imebidi niseme, it's a small world isn't it, be nice to others and they'll be nice to you, it's as simple as that.

    ReplyDelete
  5. yaani huyu kinana ilikuwa kido akose hiyo nafasi wakati anaiwania ikabidi amnunue mzee mmoja mjinga amtolee ushahidi wa uongo kwamba yeye ni mtanzania halisi kwamba baba yake ni mtanzania.

    mzeee alifikiri atapata mafao siku alipokwenda kumtafuta kinana amuombe msaada kinana alimwangalia kama vile hamfahamu wala hajawahi kumuona.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 15, 2006

    Kinana si ukubali tu,demu kakuzimia kinoma.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...