mmiliki mzawa wa new mount meru hotel ya arusha akiwa na mzee qorro wakipata ugali hotelini hapo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. mmiliki wapi amewekwa kama kinara hawa ndi manaotumia na sumaye kuiba mali za serikali huyu sunda na wenzake wengi mali za serikali zirudishwe jamani.

    hoteli kachukua sumaye kwa kumtumia huyu jamaa.

    inauma sana.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 13, 2006

    NEXT TIME,VIJIKO VYA MITI,SAHANI ZA MBAO,VITI VYA MITI,MEZA ZA KIASILI NK.
    HAIPENDEZI HIYO?HONGERA MMEANZA KITU FULANI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...