norbet chenga (mbele) na kundi lake la muungano cultural troupe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hivi yule dada wa kucheza na nyoka nae huwa yuko Muungano?

    ReplyDelete
  2. hapana. salma moshi anajitegemea. ila siku hizi kapotea, hatujui yuko wapi

    ReplyDelete
  3. labda kaliwa na nyoka wake!

    ReplyDelete
  4. anony juu umenichekesha sana watz sijui vituko mnavitoa wapi? jamani nimecheka sana sana mpaka mbavu zauma.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...