Home
Unlabelled
mwaipopo kazini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi namfahamu jamaa huyu kuwa mkereketwa namba moja wa Yanga. Watoto wa Jangwani wakizipiga nesho yeye anatumbuiza ama kudensi dk 120. Songombingo jina lake. Kwani aitwani?
ReplyDeletePia siusahau mchango wa Hayati Mheshimiwa Abas Gulamali. Kama unayopicha ya kamanda huyu wa yanga nibandikie. Aliipenda Yanga kama familia yake, ingawaje hakuwa nazo kama mshindani wake Azim.Kipindi hicho naishi Morogoro.Mnazikumbuka 'Sharuks'. Nyuma ziliandikwa majina ya watoto ya jangwani.Yaani we acha-ga tu. Mnakumbuka Afrika mashariki na kati nakivubo 1993. Simba walienda kwa ndege wakarudi kwa meli na basi. Yanga walienda kwa meli na basi wakarejea kwa Ndege na Kombe, huku kila mchezaji kazawadiwa TV ya rangi. TV kipindi hichi ilikuwa dili. Michuzi alikuja nayo ya mtumba kutoka Jeremani akabidi aiandikishe kama gari vile. Au siyo?
Na picha ya Saidi Mwamba kama ipo imwage.
PICHA KAMA HIZI WATU HAWATOI MAONI KWA KUWA HAWAONI SEHEMU YA KUANZIA MATUSI!
ReplyDelete