Home
Unlabelled
nansi mweupe na mweusi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
She is pretty and sexiest
ReplyDeletehivi michuzi picha ulizonazo ni huyu huyu tu, msela tunachoka na hii midemu ya lundenga tunataka picha za maendelo ya utu wa watu wetu na sio mitindo yan kuiga ya hawa bwana ebu tuwekee picha ZA kIKWETE KIFANYA KAZI ZA NCHI NA ZA SUMAYE NA LOWASA BWANA
ReplyDeletembona akiweka za maendeleo ya nchi hamcomment? mnang'ang'ania humo humo kwenye picha za nani kafanya nini eg lundenga's girls,mitindo,harusi
ReplyDeletehe is doing business here, unadhani naye hana akili atoe vitu ambavyo watu hawahitaji? na kwani amekwambia yeye mwanasiasa? kuna web nyingi zinazoeleza kikwete kafanya nini na mambo yanayohusiana na hayo nenda ''kikweteshein.com''
Ahsante Anon kwa kumueleza huyo mtu hapo juu. Michuzi anaweka picha za kila aina humu ndani, lakini watu wanapenda kucomment kwenye picha za watoto wazuri. Kuna picha kibao humu za Kikwete lakini watu hawacomment sana lakini za totoz ndiyo zimejaa comments.
ReplyDeletekutokana na akili zenu kujaa huo uozo ndio sababu ya kuwaza hayo.ama kweli ukimwi utawamaliza! kalaga bao hakuna mzungu atakae kuja na kutuondolea umasikini tuliojaa nao, tutabaki kuomba omba tu kizazi mpaka kizazi, raisi mpaka raisi.fanyeni kazi.taifa lapoteza nguvu kazi kila siku sababu ya ukimwi.we unatumbua mimacho ktk kompyuta kutazama mwanamke si wako na hapo hapo mawazo machafu yakutuma kutoa maoni kuhusu huyo huyo mwanamke.fanya kazi.Lyimo
ReplyDeleteWewe Lyimo, ukitumbua mimacho kumwangalia Kikwete ndio umefanya kazi na utaondoa umaskini? Usilete za kuleta hapa fungua blog yako uweke kina Kikwete na huyo Sumaye wake kama unataka sana
ReplyDeleteAkina Lyimo wanapata wapi muda wa kuangalia hii tofuti wakati wanataka kupambana na umaskini.
ReplyDelete