Home
Unlabelled
mwanzo wa mbio za urembo 2005
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mtoto mrembo Nancy ni wa sita toka kulia.
ReplyDeleteni wa saba kutoka kushoto
ReplyDeletejamani bongo kuna watoto wazuri.we acha tu
ReplyDeleteJamani miye namhusudu yule aliyesimama nyuma ya Nancy...
ReplyDeletemichuzi weka hi picha kwa ukubwa basi haijikuzi mbona? yakhe vipi?
ReplyDeletemi wa 1, 2, 3, 6, 7, na wa 8 toka kushoto wote nawahusudu kinoma.
ReplyDeleteKitonga said.....
ReplyDeleteWewe Miko Doglasi maoni uliyoyatoa hapo juu ni ya kusikitisha sana kuona mtu anayejua kuandika na kusoma umeandika upuuzi wa hali juu ngoja nikueleze matusi si kitu cha kufuruhaisha kabisa ktk dunia ya sasa kuona picha za warembo na kutoa maoni jinsi unavyowaza unaonekana upo nyuma sana kimawazo na pengine uko ulipo unahangaika mno kimaisha na kimawazo,tunajua watanzania wengi mnaoishi ughaibuni mnavyoimiss bongo,kurudi uwezi kwanza kabisa pengine huna hata kibanda cha kufikia na hata ukirudi uwezi tena kwenda ughaibuni kwasababu ni one way ticket [deportation]hii blogu inasomwa na watu wengi sana tafadhali matusi na kebehi siziso na maana muache.Michuzi usikate tamaa nakuomba uendelee na kazi yako bila kinyongo ahsante.KITONGO
miko doglas kama unavyojiita mwenyewe kwanini nani alikuaambia ujifanye mkimbizi unamkimbia mkapa au JK?.tafadhali mifadhaiko yako ya ukimbizi usiilete kwa watu na heshima zao wakubwa kwa watoto.jiheshim kinywa kichafu kama nini si bure wewe hunya bila hata kuchamba hivyo ndivyo kinywa chako kinavyojieleza hapa mpuuzi kweli wewe.MUNGU AKUSAMEHE HUJUI UTENDALO KIMA WA KIJANI WEEEEEEEEE
ReplyDeleteNANCY MALIWA
Nancy kajipiga simple kulio wote, mini kuliko wote, kasimama straight kuliko wote.
ReplyDeleteYarab stara mboni watu wenye upeo finyu wana hata muda wa kuandika maneno ambayo hata huwezi jua kama mama zao wanavinywa maani watu wanakalia kuonyesha ujuzi wa mitusi tuu nasio kuonyesha taaswira na upepuzi yakinifu mimi nasema sipendi tena iko hii tabia baaaa
ReplyDelete