nancy sumary alianzia hapa. je wawez kumtambua?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Mtoto mrembo Nancy ni wa sita toka kulia.

    ReplyDelete
  2. ni wa saba kutoka kushoto

    ReplyDelete
  3. jamani bongo kuna watoto wazuri.we acha tu

    ReplyDelete
  4. Jamani miye namhusudu yule aliyesimama nyuma ya Nancy...

    ReplyDelete
  5. michuzi weka hi picha kwa ukubwa basi haijikuzi mbona? yakhe vipi?

    ReplyDelete
  6. mi wa 1, 2, 3, 6, 7, na wa 8 toka kushoto wote nawahusudu kinoma.

    ReplyDelete
  7. Kitonga said.....

    Wewe Miko Doglasi maoni uliyoyatoa hapo juu ni ya kusikitisha sana kuona mtu anayejua kuandika na kusoma umeandika upuuzi wa hali juu ngoja nikueleze matusi si kitu cha kufuruhaisha kabisa ktk dunia ya sasa kuona picha za warembo na kutoa maoni jinsi unavyowaza unaonekana upo nyuma sana kimawazo na pengine uko ulipo unahangaika mno kimaisha na kimawazo,tunajua watanzania wengi mnaoishi ughaibuni mnavyoimiss bongo,kurudi uwezi kwanza kabisa pengine huna hata kibanda cha kufikia na hata ukirudi uwezi tena kwenda ughaibuni kwasababu ni one way ticket [deportation]hii blogu inasomwa na watu wengi sana tafadhali matusi na kebehi siziso na maana muache.Michuzi usikate tamaa nakuomba uendelee na kazi yako bila kinyongo ahsante.KITONGO

    ReplyDelete
  8. miko doglas kama unavyojiita mwenyewe kwanini nani alikuaambia ujifanye mkimbizi unamkimbia mkapa au JK?.tafadhali mifadhaiko yako ya ukimbizi usiilete kwa watu na heshima zao wakubwa kwa watoto.jiheshim kinywa kichafu kama nini si bure wewe hunya bila hata kuchamba hivyo ndivyo kinywa chako kinavyojieleza hapa mpuuzi kweli wewe.MUNGU AKUSAMEHE HUJUI UTENDALO KIMA WA KIJANI WEEEEEEEEE

    NANCY MALIWA

    ReplyDelete
  9. Nancy kajipiga simple kulio wote, mini kuliko wote, kasimama straight kuliko wote.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 04, 2006

    Yarab stara mboni watu wenye upeo finyu wana hata muda wa kuandika maneno ambayo hata huwezi jua kama mama zao wanavinywa maani watu wanakalia kuonyesha ujuzi wa mitusi tuu nasio kuonyesha taaswira na upepuzi yakinifu mimi nasema sipendi tena iko hii tabia baaaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...