
shirika la utangazaji la uingereza - bbc - lilipomtuma mtangazaji wake noel mwakugu kuja bongo kutafuta na kupasha habari halikumaanisha jamaa apitilize na kutafuta vya ziada. lakini huyu bwana akapitiliza na kuopoa jiko liitwalo kissah mwangopola. hapa mwandishi habari mwandamizi agnes kabigi na mumewe wanamsuta noel kwa kupitiliza wakati wa sendiofu ya kissa ilofanyika kambi ya polisi barabara aya kilwa dar. na ili nimtunzie siri noel amenialika kwao nairobi siku ya april 22 (jumamosi hii) kwenye ndoa rasmi itayofungwa kanisa la all saints na kisha kujichana pale sailing club lang'ata. bahati mbaya sintoenda kwani jumamosi nina tenda ya arusi hapa dar
Really hilarious!
ReplyDelete