vijana wa kundi la oya wakiwa na wastaafu bc na bm ikulu kabla bm hajastaafu. vijana hawa ni kati ya wengi walioaga ubitozi na kujikita kwenye sanaa za kiasili. juzi juzi walikuwa japan ambako wanaenda tena mwezi ujao kwa maonesho ya miezi minne.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Nd. Michuzi,

    Hayo maonyesho Japan watafanyia mji gani?

    Tafadhali naomba unipatie contacts zao kama unazo niweze kuwasiliana nao.

    ReplyDelete
  2. Oya Theatre Troupe kiongozi anaitwa omari namba yake +255 744 360 000

    ReplyDelete
  3. Nd. Michuzi,

    Shukrani za dhati. Nitawatafuta.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...