darasa la muziki chuo cha sanaa bagamoyo - damija upoooo?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Natamani kama vyuo vya sanaa vingekuwa angalau vitano kwa nchi nzima, jambo ambalo lingeifanya sanaa kukua zaidi kitaaluma. Sasa hivi Tanzania tuna vijana wengi waliojidumbukiza katika fani hii, vijana hawa wengi wao hawana elimu ya sanaa kabisa wanatumia vipaji tu, ninaamini wasanii hawa wanapenda kujiunga na masomo ya sanaa lakini tatizo linakuja katika upatikanaji wa nafasi zenyewe. Miaka niliyokuwapo mimi chuo kilikuwa kinachukuwa watu kumi tu kwa mwaka au zaidi kidogo, kwa hiyo chuo kizima kinakuwa na jumla ya watu 30 au 35, sasa hivi nadhani idadi ya watu imeongezwa, lakini ninahakika bado haitoshi ingekuwa ni jambo la busara kama vyuo vya sanaa nchini vikaongezwa.

    Michuzi nawasilisha hoja,
    Ni mimi Mbunge mtarajiwa.

    ReplyDelete
  2. michuzi weka picha bwana. acha basi mambo yako.

    tumeshaanza kukumiss au ndo unataka kuhama tena?????

    unapendwa kaka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...