ddc mlimani park orchestra ya enzi hizo. bitchuka kachuchumaa kushoto na maxmillan bushoke kulia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. michuzi katika pitapita zako hujabaatika kukutana na "shangingi" la mh.amina chifupa.tunaomba utuweke kwenye blog ili tushuhudia moja wapo ya matunda ya ubunge.au bado hawajapewa?

    ReplyDelete
  2. wewe anony vipi? mambo ya gari la amina na mlimani park vinaingiliana vipi? acha uvivu tafuta picha ya amina ndio uandike hayo maswali yako

    ReplyDelete
  3. mimi nilikuwa naogope kuwa kwenye zile picha za chini michuzi hatazipitia tena kusoma maoni....kwa hiyo hilo gari hataliweka.ila asante kwa ushauri.

    ReplyDelete
  4. Hii ni Sikinde iliyotembelea Germany, nusu nyingine ilibaki hapa Bongo kuendelea kutumbuza. Hawa jamaa walikuwa wanapiga muziki, ukisikiliza nyimbo zao za zamani utakubaliana nami.
    Kwenye picha waliochuchumaa toka shoto ni Bitchuka,Joseph Bernard,Mashaka Shaaban, Max Bushoke
    Nyuma toka shoto: Machaku Salum Michael Bilal, Huruka Uvuruge (anayechungulia) Juma Hassan Town,Hamis Milambo, Henry Mkanyia,Abdallah Dogodogo na mwisho anayecheka ni mkongwe na muasisi wa Sikinde tangu ilipoanzishwa Habib Jeff Mgalusi (Jeffasto)

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 01, 2006

    Je huyu Abdallah Dogodogo alikwenda bendi gani alipoacha Sikinde? Na je kwa sasa anafanya nini na yuko wapi?
    Na kama kuna mtu ana email ya huyu Max Bushoke naomba anijaaliye tafadhali

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 03, 2006

    hiyo ndio NGINDE bwana, kakosekana Hussein Jumbe tu hapo watu tuanza kuchechemea

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 03, 2006

    Kwa taarifa nilizo nazo ni kwamba Marehemu? Abdallah Dogodogo baada ya kutoka Sikinde alikwenda Nairobi na kujiunga na moja ya bendi za Wanyika, sijui kama ni ile ya kina Marehemu Kinyonga, au ya Marehemu John Ngereza, au ya Marehemu Profesa Omar. Sina hakika sana lakini habari nilizozipata kutoka kwa wasanii waliokuwa Nairobi waliniambia kwamba Abdallah Dogodogo alifariki dunia baada ya kuugua kwa muda.

    Muhidini, tafadhali naomba uwasiliane na jamaa wa Nginde au Gasper Tumaini wa TOT ili tupate uthibitisho na habari hii.

    Ni miye maridhiya,
    F MtiMkubwa Tungaraza.

    ReplyDelete
  8. Anyway, sina taarifa za dogo dogo za karibuni; lakini ninachofahamu dogodogo alikwenda Botswana pamoja na wakina Yohana "wanted" yule mpiga solo hatari aliyekuwa Vijana Jazz; Du kama kweli kijana amesukuma mkorosho basi tena ndio mapenzi yake MUNGU; sasa TUFANYEJE!!

    ReplyDelete
  9. Michuzi naomba habari za shwaib ole monduli tafadhali.

    ReplyDelete
  10. Dogo dogo, kina ambaye akiwa na miaka 14 (pale 1986) alichukuliwa na sikinde kutoka Morogoro kuja kuziba kupiga gita la besi ikiwa ni kuziba pengo la John Ngosha aliyeamia OSS pamoja na wanamuziki wengine akiwemo Hassan Bitchuka, Mhidini Gurumo, Ally Makunguru, Kasimu Rashid na Abel Batazar.

    Ni Jumapili ya tarehe 08.02,2008nikiwa DDC Kaliakoo nilimshuhusia kwa macho yangu Abdallah Dogo dogo akiwa hai na akipasha na sikinde huku akipiga classic song kwa kupiga gita la besi, na pia akishiriki katika nyimbo nyingine kwa kupiga gita la besi, kwa kweli kijana (sasa naomba nimwite mzee) akipiga gita la besi kwa ufundi mkubwa saaana).

    Kikubwa niachopenda kusema ni kuwa kijana amechoka, na kwa kweli ukimweka pamoja na Bitchuka and Bernado, Dede, Jeff, Mbaraka, basi utafikiri mtu wa lika lao. Kijana anasemekana amejaribu kuomba kuomba ajira DDC bila mafanikio kwani wapiga besi sasa wako watatu (John Ngosha, Tony Karama na Mabesi).

    Michuzi naomba liweke wazi hili kuwa ABDALLAN DOGO DOGIO NI MZIMA; jasije yakwa kama ya Jumbe au Gama ambao walizushiwa kufa kumbe wako hai

    ReplyDelete
  11. Bwana F MtiMkubwa Tungaraza. Nachukua nafsi kukuhakikishia kuwa Abdallah Dogo dogo, ambaye akiwa na miaka 14 (pale 1986) alichukuliwa na sikinde kutoka Morogoro kuja kuziba kupiga gita la besi ikiwa ni kuziba pengo la John Ngosha aliyeamia OSS pamoja na wanamuziki wengine akiwemo Hassan Bitchuka, Mhidini Gurumo, Ally Makunguru, Kasimu Rashid na Abel Batazar.

    Ni Jumapili ya tarehe 08.02,2008nikiwa DDC Kaliakoo nilimshuhusia kwa macho yangu Abdallah Dogo dogo akiwa hai na akipasha na sikinde huku akipiga classic song kwa kupiga gita la besi, na pia akishiriki katika nyimbo nyingine kwa kupiga gita la besi, kwa kweli kijana (sasa naomba nimwite mzee) akipiga gita la besi kwa ufundi mkubwa saaana).

    Kikubwa niachopenda kusema ni kuwa kijana amechoka, na kwa kweli ukimweka pamoja na Bitchuka and Bernado, Dede, Jeff, Mbaraka, basi utafikiri mtu wa lika lao. Kijana anasemekana amejaribu kuomba kuomba ajira DDC bila mafanikio kwani wapiga besi sasa wako watatu (John Ngosha, Tony Karama na Mabesi).

    Michuzi yuko bize na Msondo nafikiri hana muda wa kupitia sikinde, Michuzi kanusha kama naongopa

    Kisondella, A.A

    ReplyDelete
  12. Shwaib ole monduli. Natafuta kanda zake za gospel. Simpati kwa you tube. Nisaidie tafazali. Ama katumia jina lingine?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...