hili ndilo vazi la taifa la kiume lililoshinda kwenye lile shindano lililokula mamilioni ya shilingi za maandalizi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Kaka Michuzi,

    Naomba unisaidie. Hili ni vazi la taifa gani?

    Maana kama ni vazi la taifa la Tanzania, sioni kabisa linaakisi vipi Utanzania au hata utamaduni wetu!

    Hili sio vazi la kiume la taifa la Tanzania! Labda kwa Wakongomani!

    ReplyDelete
  2. Hata mimi swali langu ni hilo, vazi la taifa gani hilo? Hebu wasituletee utani. Naomba Michuzi uweke lile vazi rasmi la mwanamke wa kitanza, uliwahi kuweka picha huko nyuma. Ukilinganisha utaona kuwa hili vazi ni la kutania. Vazi lile la kike linaonyesha kabisa utaifa wetu. Hili sijui aliyechagua amelipwa bei gani.

    ReplyDelete
  3. Hata siku moja hili haliwezi kuwa vazi la mtanzania!!!! hili ni vazi la ma-pampa wemba, wanaopenda kuvaa viatu size vya number 13-16 wakati miguu yao wanavaa number 7 au nane--

    ReplyDelete
  4. hahahaha anon usinichekeshe.

    ReplyDelete
  5. Naomba mniwie radhi lakini hilo vazi kwa kweli ni kama tu zile nguo za Kandabongoman alizokuwa akivaa enzi za Inde Monie! eti leo ni vazi la kitaifa la wanaume, hivi kweli tuko serious au ni joke of the week, mimi nadhani ikija kwenye masuala ya kitaifa tuwe serious kidogo, watanzania tuna mavazi mazuri ya kiasili tangu zamani, labda yangeweza kufanyiwa tu moderations na few changes kidogo yakavutia basi tuyape title ya vazi la kitaifa, lakini kwa kweli hako kasuti ka jamaa hapo juu, I'm sorry guys siafiki nako!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...