Home
Unlabelled
wakulu wetu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Msuya Mwizi!!
ReplyDeleteKakuibia mamako?
ReplyDeleteMsuya Mwizi!! Kaiba mabilioni ya dolari hazina ya Bongo.
ReplyDeleteacheni matusi wana blog.msuya alitenda,sasa ni zamu ya komredi lowasa
ReplyDeletePotea kule wewe unayejiita abtwalib!! MWIZI NI MWIZI na KUMUITA MTU MWIZI SI SAWA NA KUMTUKANA.
ReplyDeleteHapo Lowassa ndo anashukuru baada ya kupewa mbinu za kuchota fweza hazina na kuzitorosha kwenye off-shore accounts.
ReplyDeleteJK kamtuma lowasa akajifunze mbinu za msuya namna ya kufanya off-shore account bila kuleta tabu hapo baadae.
ReplyDeletewote hawa wanafeza zaidi ya baresa ukichanganya na mengi.
msuya mwizi tu huyo,kweli maduhu,mi nina machungu nao sana hawa,we unayesema si mwizi mi ntakufanyia mbaya,mi bibi yangu kule kijijini manda hana chumvi halafu msuya anapeleka fedha offshore account,usenge huu mi siwezi vumilia.....
ReplyDeletevijana matusi hayasaidii,zaidi yanaonyesha kuwa na chuki ya binafsi,hata kama hoja yako inukweli ndani yake ukianza na matusi hoja yako inakosa nguvu.
ReplyDeleteKumbuka edward alikuwa waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu wakati wa Msuya.walichota fedha yeye msuya na rajani wakati watenda za magari ya wakuu wa wilaya zile pajero feki za mwanzoni,hiyo ndo ilimtia dasari edward wakati wa mwalimu na mambo mengine ambayo ni nyeti.Watanzania tujifunze kuweka kumbukumbu za watu kama mtu alikuwa mwizi je akiwa waziri mkuu ataacha wizi?.Pia tufike mahala viongozi wanaoiba washitakiwe wakitoka madarakani maana cheo ni dhamana,siyo kuacha akina Sumaye wanaondoka na mamilioni na tunabakia kukaa kimya,kina mama mkapa wanahamisha hazina kwa kisingizio cha mfuko wa equal opportunity nani amenufaika na yote hayo.Amkeni watanzania msichezewe rafu nakubakia kimya huo siyo upole ni uoga kumbuka ni lazima wachache mjitose kutetea wanyonge japokuwa cha moto mtakipata mwanzoni.
Unajua sisi watanzania tuna nidhamu ya uoga hii amani tulio nayo inachangiwa na woga wa kuchangia miswada na maada juu ya hatma ya tanzania yetu nasema haya kwa sababu tuu watu wanakatabia cha kuzida watu wizi kwa sababu ya wepesi wa mtu haya Msuya mwizi mbona hatukusema fyoko wakati akiwa waziri Mkuu wa Mwl Nyerere na Hata Sheikh Mwinyi ahhhh tulikuwa tunaogopa sio sasa kaondoka watu wanabweteka mineno ohhhhh Sumaye wizi mbona mnamwona sumaye tuuu bosi wake Mkapa mnajua zake ngapi sasa hii ni chuki tuuu mbona hamjamuuliza Kikwete mwaka wake wa mwisho pale Foreign affairs mabalozi wamekwiba mabilioni nani asiyejua kuanzia balozi za Rome ,London ,Lusaka ,Abuja, Washington DC sasa wenye fyoko chukue ni hizi topic mkaulize wakubwa hatukuchagua sura ya mtu tumechagua kiongozi sawa wana maada
ReplyDelete