wakati wa miss upanga kulichezeshwa bahati nasibu ambapo mshindi alitangazwa na kuchukua zawadi hapo hapo ukumbini. huyu ni mmoja wa washindi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 21, 2006

    huna lolote michuzi hii picha umeiweka uchokozi.

    kwa bahati mbaya humbip mtu hapa leo.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 21, 2006

    Ka kampuni ka bwana michuzi pia kalidhamini pia haka kashindano. Sidhani kama bahati nasibu ilichezeshwa kwa haki. Mrindimo huo kwa nyuma unaweza ukapelekea watu wakapanga matokeo

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 21, 2006

    Aliye nacho daima huongezewa...

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 21, 2006

    Huyu dada nae ana makalio makubwa mno! siku nyingine asivae nguo inayomchukua.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 21, 2006

    Duh kwa mwendo huu ukimwi ukitukosa basi mungu tu katupendelea lakini kwa mwenye macho vitu kama hivi, basi tutegemee tu kudra za mola.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 21, 2006

    Lakini kweli fikiria toto kama hili likiwa ndani ya kumi na nane zako utakumbuka KIDATU kweli sijui.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 22, 2006

    usilalamike ukimwi. kama unakula pipi bila ganda lake......

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 22, 2006

    na wewe tangu lini mtu akala pipi na ganda lake huu mf. wako hauendani tafuta mwingine.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 22, 2006

    Nyie wote hapa ni kama hamjawahi kuona binti mnono ----lugha sahihi. Maana mmepanic....nyie ndio siku mwaja baka watu....Huyu ni mmoja wasichana wazuri hapa dar...na sasa bado hamjaona kitu. Kutumia raba au usitumie kwa kweli ni UJINGA wako kama unaakili. Shauri zenu kutafuta sababu za maganda sijui nini. Kuweni kenge nyie.UKIMWI UNAUWA

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 25, 2006

    This is more than fantastic, she is a real woman/girl to be looked after.I like the body-buildup, every man can easily be attracted, congratulations my Dear.I will be searching for you within Upanga.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 25, 2006

    Usijekamatwa ugoni, huyu ni mke wa mtu na siku ile alienda na mume wake, wapo bado kwenye honey moon, wameoana hivi majuzi.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 26, 2006

    Kwani akiwa mke wa mtu ndio hatafutwi?Ukiwa na ndoo kichwani lazima uwe na kidumu(lita tano)mkononi!We vipi?Utasema kuna ngoma,kuna "KAMASUTRA"

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 26, 2006

    Tamaa za mwili tu lakini hana jipya ama kitu tofauti sana huyu, essence na substance ni ile ile, baki na demu wako wa sasa la sivyo itakuchanganya maana unabadili sana mtani na kila ukienda unakuta kitu ni kilekile labda mapigo tu unayotafuta. Any way, unao uamuzi, huu ni mtazamo tu.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 26, 2006

    ANONY,ALIYEKWAMBIA NI KITU KILE KILE MUONGO MKUBWA!UNASEMA KWA KUSIKIA AU KUJARIBU?HUYU DADA NAMZUNGUMZI NDANI YA HISIA ZANGU,NA MTINDO NIMESHAMCHAGULIA;NAJUA ATAUPENDA NA WATAPENDA KUUTUMIA PIA KWENYA HANIMUNI!
    BINADAMU HATUFANANI USIDANGANYIKE,ILA KUMBUKA KUNA NGOMA ,USISAHAU...............!NIKWAMBIE CHA ZAIDI KWA HUYU DADA?

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 27, 2006

    DIFU LIMETULIA HILO,MKAO WA MIGUU UNAASHIRIA JINSI MWISHO WA MIGUU KULIVYO!KWA ILE STAILI YA KUTOKUCHOKA(mbwa)HUKU UMESHIKA HICHO CHUNGU,POLEPOLE KWA MWENDO WA SAA NADHANI MR.POISON UNAWEZA UKAFIA HAPO!
    KIUNO KIPO,KIFUA CHA WASTANI(MIE SIPENDI MIMAZIWA YA KUNYONYESHEA KIJIJI(TEH TEH TEH!),HUYU DADA MUNGU KAMPA USAFIRI KADRI YA MWILI WAKE!

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 28, 2006

    Mmmmh!Sasa hayo mengine,wengine huko hatupo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...