Home
Unlabelled
magari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mr. Michuzi hii kali, mimi sasa hivi nahangaika kutafuta kaji gari cha kuri\udia nyumbani, na nina pewa macharge kibao...gari kma hizi ni karibu ya kiasi gani ?
ReplyDeleteHuna haja ya kutafuta huko na kurudi nalo huku utasumbuka bure, wewe njoo tu huku kuna show room kibao karibu kile kona ya Dar kuna show room kwa sasa na magari ya aina nyingi sana ya kijapan ndio mengi....
ReplyDeleteVitara zinapatikana kwa 7m baloon 5m RAV4 12m labda useme unataka gari gani tukuulizie bei yake
ReplyDeletekuuliza si ujinga!ama sivyo.yaani hizo bei hapo pamoja na USHURU ama?
ReplyDeletehizo bei ni pamoja na ushuru wala usipate hofu ukinunua hiyo gari unaenda ku-change jina tu
ReplyDeleteShukrani sana wakina Anony 10:45 AM & 12:19 AM, mimi naulizia kagari cha Million nne tu, na 1.6 to 2.0 lts....maana mafuta huko nyumbani ni kasheshe. Maoni yenu tafadhali.
ReplyDeleteN wewe Mwa Blog unaulizia sana hee? Kabila gani wewe? Mnyakyusa au? Mbona wanyakyusa hawako hivyo? Wao ni matumizi tu sasa wewe maswalili miamia!!!!!!!!!! njoo nunua gari nenda kwenu Mbeya kusalimia.
ReplyDeleteWe anony 5:14 PM huna akili ndio nyie unarudisha watu nyuma...hata nikiwa Mnyakyusa, Mhehe, Mdigo hapa tunaelimishana....ndugu yetu Mr. Michuzi anatuelimisha mambo ya nyumbani. Hutaki ku-share information soma IPPEMEDIA.
ReplyDeletekwa milioni <4 unapata starlet bomba yenye engine ya 4FE (1.5) ambayo ni sawa na ya corolla limited, hii gari inakuwa na EFI system iko very economy kwenye mafuta sema tu usinde vichochoroni kwa yule demu wako maana itagusa chini
ReplyDeleteShukrani sana RHXOQSA, yule demu wa makongo nitamkatia.
ReplyDelete