darasa langu kwenye ziara ya masomo uwanja wa olompiki wa berlin mwaka 1992. jamaa huyo tulimuona mzushi aliposema ujerumani itaandaa wodikapu hapo mwaka 2006

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 23, 2006

    Michuzi,
    Sishangai kwamba mlimwona mzushi wakati huo, na najua sababu si kwakuwa mlijua Ujeremani haikuwa na uwezo wa kuandaa bali kama kawaida yenu wabongo mliona uzushi mtu kuanza kuongea mambo ya miaka dazeni (12) ijayo. Hilo ni fundisho kwa wabongo kuwa wenzetu wanaendelea kwa sababu ya kuona mbele. Sisi aah tunajua leo tu kesho itajijua.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 24, 2006

    tanzania miaka 12 mingi sana, huku hiyo ni kama miaka 6 tu jinsi life ilivyo fast. wamewapa waandae sasa wanatuambia weusi kuna miji hatuwezi kwenda kwa sababu ya ubaguzi, mambo ya kipuuzi sasa hayo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...