george weah akiwa nasi dar mwaka 1994 alipotangulia kuandaa mechi kati ya tanzania na liberia. juma pinto (kulia) hapo uingereza salama? shoto ni shy-rose bhanji (zamani deiliniuzi, sasa dawasco) na nyuma yake nami ni abdallah majura wa bbc. aliyebambwa na weah ni francis lucas wa mtanzania na nyuma yake ni mtangazaji abubakar liongo na mbele yake ni jabir idrissa wa uhuru...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...