hoyce temu alizawadiwa na bosi wa billicanas freeman mbowe kwa ushindi wake wa kuwa miss tz 1999

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 30, 2006

    Michuzi, picha ya KUSAGA na MJ mbona umetoa tena? rudisha watanzania tupate uhondo

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 30, 2006

    wacha awatoe malaya wale wenye ukimwi inaonekana hata yeye anajua hilo ndio maana kawatoa ili msiwanyanyapae waathirika

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 30, 2006

    Anon wa 6:59
    Wale jamaa sio malaya na wala hawana ukimwi, wa2 tu ndio wanawazushia kwa ajili ya wivu. Uongo mbaya jamaa ni ma-handsome harafu wanazo pesa kinoma ndio wasichana wanajipitishapitisha.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 31, 2006

    Na Freeman je??aluuh!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 01, 2006

    Michuzi mwambie Freeman hizo stilletto noma..!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 01, 2006

    Mbona freeman hamsemi tabia zake au tunawapa heshima waliooa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...