nipo na gwiji la muziki tanzania daktari hukwe zawose (shoto) ambaye sasa ni marehemu, kwenye tuzo za zeze mwaka 2004 pale diamond jubilee hall. kulia ni msanii anayechora kwenye canvas (ndesanjo na makene na jeff naomba kiswahili chake) ajulikanaye kama kiim

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 30, 2006

    SA WE MICHUZI KUONDOWA PICHA YA KUSAGA NDIO NINI? MII UMENIUZI KAMA NINI HAKYA MUNGU

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 30, 2006

    Nani kakudanganya kuwa una uhuru usio na mipaka? Haya ndiyo matunda ya anonimasi wanaoshinda humu kutoa matusi badala ya kujadili hoja au kutazama picha na kukimbia kufanya majukumu yao.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 30, 2006

    Michuzi
    Rudisha picha pls wacha wa2 wausemee moyo bana

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 30, 2006

    AAAh we michuzi vipi bwn? Si umetubeep mwenyewe?

    ReplyDelete
  5. Michuzi nasikia huyu daktari alikuwa na uwezo wa kupiga zana kibao za muziki zikiwemo za asili na ndio maana wakampa wadhfa wa udaktari kwa kifupi alikuwa na uwezo wa kutumia zana zote za muziki

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...