unapokaribia kutua uwanja wa ndege wa mwalimu nyerere (zamani dar es salaam) international airport chini kuko hivi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 28, 2006

    Hii kali sasa Michuzi yani unaona Vibanda tu, utadhani vya kufugia kuku

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 28, 2006

    Kwani cha ajabu nini kwnai si ndivyo palivyo haa bila kupiga picha kwa juu. Huko si nsio maeneo ya kipunguni, ukonga, vingunguti, Pugu huko sio ndio kweli wanafuga kuku? na ndo huko kuna mabanda kama hayo.

    Ukipiga picha maeneo ya masaki kwa juu nina uhakika pataonekana tofauti na maeneo ya ea poti

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 28, 2006

    hii ndio mitaa anayoishi michuzi, huwezi kumwelekeza mtu akafika lazima apotee, huku mpaka leo kunapatikana vinyonga, nyoka, kobe, sungura pori na kadhalika

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 28, 2006

    Lodi hevu mesi! Huwa sielewi kwanini Serikali isihamie Dodoma na kuijenga kwa plans za majiji ya wenzetu. Dar ni uozo kabsa!!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 29, 2006

    Tuwaulize waliokaa UKONGA jamani, mnakumbuka mlipotokea au mjeshejedua tu kwa vile sasa mmekucha....TEH TEH. Washkaji wale walimchokoza bush waanze kuona ramani y akipawa hiyoooooooooooooooo!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 29, 2006

    Huku ndio home!pamoja na kukaa bila mpangilio angalao viwanja vimepimwa[sijui na nani..teh teh] na watu wana hati za kumiliki.hili hata michuzi jirani yangu analifahamu!hasa kuelekea sitakishari,segerea mpaka hata kinyerezi hukoo! kuna mahekalu huko wacha tuu! Hali ni mbaya zaidi maeneo ya uswazi ya zamani kama magomeni,manzese n.k.yaani hata kupumua humezi ndio maana kipindupindu kina maskani ya kudumu dar!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 29, 2006

    Michuzi,
    Hakika kazi ni nzuri hiyo.Hivi ninacho taka kujua kuna uhusiano kati ya rangi ya miili yetu na akili yetu?
    Kwani nashindwa kuelewa kwanini Waingereza na Wajerumani waliweza kujua haja ya kupanga miji lakini sie pado?
    Kwanini nchi kama Msumbiji mji wake wa Maputo(kumbuka wamefanya kazi hiyo Wareno) unaeleweka lakini yetu siyo?
    Kwanini hata katika kulinganishwa huwa tunaambiwa kusini mwa jangwa la sahara hii ni katika kukwepa nchi za kiaarabu?
    Tunasingizia hatuna mafuta kwani kila nchi ya kiaarabu ina mafuta?
    Naigeria nayo pamoja na Namibia ndiyo tusemeje? Mbona wana mafuta lakini hali ni mbaya.
    INAKERA SANA.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 29, 2006

    Jamani kujenga nyumba ktk mpangalio hakuhitaji mafuta wala zahabu. Kitu kilichopelekea hayo yoote kutokea kwanza ni serikali kutofutatilia na kupima viwanja na kuifanya prosesi yote kuwa rahisi na ya kueleweka, Pili ni ujinga wetu sisi wenyewe, utakuta mtu kanunua kiwanja ambako barabara ilipaswa kujenhwa kwa bei rahisiii basi anajiona mjaaanja na kuwaalika wajiga wqenzake kununua viwanja kama cha kwake

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 29, 2006

    Pumbaf sana wote mnayoitukana hali yetu, na wengine mmefikia hata kujifananisha na Ujerumani na Uingereza. Hizo nyumba zote zinajengwa kiholela na Fundi Adamu, utafananishaje na Ujerumani ambako nyumba zote zinajengwa na kampuni za ujenzi? Isitoshe, taifa letu lina miaka 45, Taifa la uingereza lina miaka 900. Unajua London ilivyokuwa inaonekana wakati taifa la Uingereza lina miaka 45? Ni kweli maisha yetu tunatakiwa tuyaboreshe, lakini hatutakiwi kuyatukana.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 30, 2006

    ili mradi tuishi!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...