Home
Unlabelled
dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii kali sasa Michuzi yani unaona Vibanda tu, utadhani vya kufugia kuku
ReplyDeleteKwani cha ajabu nini kwnai si ndivyo palivyo haa bila kupiga picha kwa juu. Huko si nsio maeneo ya kipunguni, ukonga, vingunguti, Pugu huko sio ndio kweli wanafuga kuku? na ndo huko kuna mabanda kama hayo.
ReplyDeleteUkipiga picha maeneo ya masaki kwa juu nina uhakika pataonekana tofauti na maeneo ya ea poti
hii ndio mitaa anayoishi michuzi, huwezi kumwelekeza mtu akafika lazima apotee, huku mpaka leo kunapatikana vinyonga, nyoka, kobe, sungura pori na kadhalika
ReplyDeleteLodi hevu mesi! Huwa sielewi kwanini Serikali isihamie Dodoma na kuijenga kwa plans za majiji ya wenzetu. Dar ni uozo kabsa!!!!
ReplyDeleteTuwaulize waliokaa UKONGA jamani, mnakumbuka mlipotokea au mjeshejedua tu kwa vile sasa mmekucha....TEH TEH. Washkaji wale walimchokoza bush waanze kuona ramani y akipawa hiyoooooooooooooooo!!
ReplyDeleteHuku ndio home!pamoja na kukaa bila mpangilio angalao viwanja vimepimwa[sijui na nani..teh teh] na watu wana hati za kumiliki.hili hata michuzi jirani yangu analifahamu!hasa kuelekea sitakishari,segerea mpaka hata kinyerezi hukoo! kuna mahekalu huko wacha tuu! Hali ni mbaya zaidi maeneo ya uswazi ya zamani kama magomeni,manzese n.k.yaani hata kupumua humezi ndio maana kipindupindu kina maskani ya kudumu dar!!
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteHakika kazi ni nzuri hiyo.Hivi ninacho taka kujua kuna uhusiano kati ya rangi ya miili yetu na akili yetu?
Kwani nashindwa kuelewa kwanini Waingereza na Wajerumani waliweza kujua haja ya kupanga miji lakini sie pado?
Kwanini nchi kama Msumbiji mji wake wa Maputo(kumbuka wamefanya kazi hiyo Wareno) unaeleweka lakini yetu siyo?
Kwanini hata katika kulinganishwa huwa tunaambiwa kusini mwa jangwa la sahara hii ni katika kukwepa nchi za kiaarabu?
Tunasingizia hatuna mafuta kwani kila nchi ya kiaarabu ina mafuta?
Naigeria nayo pamoja na Namibia ndiyo tusemeje? Mbona wana mafuta lakini hali ni mbaya.
INAKERA SANA.
Jamani kujenga nyumba ktk mpangalio hakuhitaji mafuta wala zahabu. Kitu kilichopelekea hayo yoote kutokea kwanza ni serikali kutofutatilia na kupima viwanja na kuifanya prosesi yote kuwa rahisi na ya kueleweka, Pili ni ujinga wetu sisi wenyewe, utakuta mtu kanunua kiwanja ambako barabara ilipaswa kujenhwa kwa bei rahisiii basi anajiona mjaaanja na kuwaalika wajiga wqenzake kununua viwanja kama cha kwake
ReplyDeletePumbaf sana wote mnayoitukana hali yetu, na wengine mmefikia hata kujifananisha na Ujerumani na Uingereza. Hizo nyumba zote zinajengwa kiholela na Fundi Adamu, utafananishaje na Ujerumani ambako nyumba zote zinajengwa na kampuni za ujenzi? Isitoshe, taifa letu lina miaka 45, Taifa la uingereza lina miaka 900. Unajua London ilivyokuwa inaonekana wakati taifa la Uingereza lina miaka 45? Ni kweli maisha yetu tunatakiwa tuyaboreshe, lakini hatutakiwi kuyatukana.
ReplyDeleteili mradi tuishi!
ReplyDelete