naripoti gogoro la yanga pale klabuni jangwani mwaka 1991. alieegemea bomba nyuma yangu ni masoud sanani wakati huo magazeti ya 'uhuru' na 'mzalendo' na nyuma yake mwenye njano begani ni james nhende wa gazeti la 'mfanyakazi'. chini shoto ni mfadhili vinod asar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 25, 2006

    Vipi mbona gogolo la Yanga haliishi ama ni kweeli laana za Mzee TABU MANGARA?(MAREHEMU)Michuzi tupe picha ya mzee Tabu Mangara pia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...