Home
Unlabelled
uzuri wa bongo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Dini moja ,imani moja Mungu mmoja ila tafsiri mbalimbali, ndiyo maana wengine wanamwita Mungu, wengine Yehova, wengine Allah, wengine Ruwa na majina kama Mulungu n.k.
ReplyDeleteKila mtu anaposhika tafsiri yake na kuiweka katika maisha yake bila kuingilia tafsiri ya mwenzake basi mambo huwa yanakuwa kama haya.AMANI TU.
SAAAAAAAFI!KAMA UNAKULA NGURUWE SINA MANENO,KAMA UNAFUGA MASHETANI MIE HUKO SIPO ILIMRADI TUMTUKUZE MUNGU!MUHIMU ZAIDI SISI NI WATANZANIA!
ReplyDeleteHopufuli na waumuni wao wataona hayo na waige mufano wa viongozi wao. Mungu ibariki Tanzania
ReplyDeletehao hapo juu wote ni wehu tuu, na hizo dini zao zinatakiwa zipigwe marufuku huku kwetu. Sisi ni waafrika hayo mambo ya sheikh na polycapi na sisi wapi na wapi
ReplyDeleteUkiona mtu anamtenga mwenzake kwa sababu eti yeye ni dini tofauti na yake ujue kichwani hamnazo.Kwanza kwetu sisi waafrika hizi dini mbili kubwa ni za kuletwa tu na wazungu na waarabu.Tupendane,tofauti za kidini zisitugawe hata siku moja.
ReplyDeleteAshukuriwe mungu anae tujalia hali hii maana wengine wanazikana kila siku kwasababu ya tofauti za dini, tusiruhusu hili watanzania, sote ni ndugu na tumetoka kwa MUNGU MMOJA. Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania na watu wake wote Amina.
ReplyDeleteWewe Anyn wa saa 9:57. Wewe sio Mtanzania, na kama wewe ni Mtanzania basi unaupungufu wa akili na kama huna upungufu wa akili basi umechanganyikiwa na kama hujachanganyikiwa una mashetani na kama huna mashetani umerukwa na akili na kama hujarukwa na akili, akili zako ni butu na kama sio hivyo una utindio wa ubongo na kama huna hayo yote utubu uliyo yasema. Hapa hatuko kuchekeshana ila kupeana comments na maana na sio mzaha, shame upon you!
ReplyDeleteHapo namuona ustaadhi shehe akimpa pongezi kadinali kwa ujasiri wake wa kuweza kukaa bila kuoa kwa maisha yake yote.
ReplyDeleteKidume kwani mashehe wanachaguliwa na serikali au ccm?
ReplyDeleteKidume ni CUF hivyo hawezi kujibu swali hilo, maana CUF ni wana ngangari wanataka haki.
ReplyDeleteMichuzi huo mkutano ulikuwa wapi? Hapo Ikulu au? Mbona umeacha kutueleza shemu?
ReplyDeleteAhsante kwa picha murua.
Picha kiboko kwani inaonekana ilipiga enzi za Mkapa. katikati yao ni mlinzi wa Mkapa ambaye kaondoka naye Ikulu. Lakini mbona mwasema uongo wa wazi, kwamba kwamba Bakwata ni ya serikali? Kwani mnadhani Nyerere ambaye alikuwa akichukiwa na mujaheeden bado yuko madarakani. Je hamuoni kwamba iwapo Bakwata ni ya serikali basi wakati wa kupata mafanikio ni sasa kwa kuwa Kikwete, yuko madarakani? Mbona mnaleta za kuleta? Hizi hoja za akina Balukta na taasisi za kichochezi zilizobeba mwavuli wa Kiislamu kwa malengo ya siri mnazishabikia bila nyie kujua?
ReplyDeleteTHAT'S A VERY GOOD PICTURE I HOPE WE CAN LEARN SOMETHING OUT OF IT,WHY DON'T WE PUT OUR DIFERENCES ASIDE AND LOVE ONE ANOTHER, DISPITE OF OUR BACKGROUND AND CULTURE....IM SURE THE WORLD WOULD HAVE BEEN A BETTER PLACE.THANKS FOR GOOD PHOTO'S ....THEY SURELY TELL A STORY. THANKS YOU .
ReplyDelete