saida kessy ndiye aliyekuwa miss tz wa kwanza kupata zawadi ya gari. hapa amepozi juu ya mkoko wake akiwa na waziri wa elimu na utamaduni enzi hizo profesa juma kapuya na mwenyekiti wa kamati ya miss tz prashant patel

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 29, 2006

    Mtuumee! mpasuo huo kiboko, maana kila mtu anaogopa kuuangalia, igeleta mtafaruku huu..

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 29, 2006

    Hivyo viatu vya Miss mie hoi!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 29, 2006

    duh mwenzangu kumbe hata wewe umeona hiyo mindula aliyotilia. yaani ni mambo ya aibu huyu baba sio mzuri wala hajui kuvaa mshamba mshamba.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 29, 2006

    Yaani basi tu, manake duuu!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 29, 2006

    Jamani kavaa hivyo viatu ili asianguke si unajua tena mchecheto wa ushindi.....

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 02, 2006

    Viatu jamani kumbukeni ni miaka ya 19... huko hahaah nilidhani yeboyebo ila amejitahidi !!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 03, 2006

    huyu kapuya si ameoa kuma la mamaake mbichi?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 05, 2006

    Aisee, wewe hapo juu uliyemtukana waziri ni noma....baba wa watu hana makuu na mtu huyo, alikuwa mgeni wa heshima wala hana uhusiano wowote wa kimapenzi na huyo dada.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 05, 2006

    Kwakweli wabongo tunatia aibu wakati mwingine, nakubaliana na anony hapo juu 9:53. KWA NINI UMEFANYA HIVYO WEWE ULIYEMTUKANA WAZIRI???????????SI UUNGWANA JAMANI. Ana mke wake.. ndio ana sifa chache za hapa na pale lakini hakustahili wewe kumkashifu hivyo. Mimi si kama namtetea au vipi maana mimi pi huwa natumia lugha hizo chafu LAKINI kwa watu wanaositahili. Kama Shose Sinare, Kinje Ngombale Mwiru, ditopile, na kazalika.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...