Home
Unlabelled
ivo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi,
ReplyDeleteKamera nzuri hiyo.Picha kama hizi huwa ni ngumu kuzipiga bila utaalamu kama wa kwako ukisaidiwa na tekinolojia ya kamera kama hiyo ya Nikon.Nadhani mwaka jana Nikon ilikuwa ndio kamera ya mwaka.
Michuzi, vipi tena, nilidhani 350D ni bora kuliko Nikon D70S maana tuliona wakati fulani umejitwika mkanda wa Canon EOS 350D.
ReplyDeleteBora ungeupgrade na Canon kama ipo
ReplyDeleteBwana Michuzi tunaomba kusoma deli nyuzi humu
ReplyDeletecanon yangu ni eos 300D. na nikon bora ni D1 ambayo bei ni dola kama 4,000, nami ubavu huo sikuwa nao. nimechagua hii sababu ya lenzi yake ya 70-300mm ambayo canon hatoi pamoja na kamera, na peke yake bei mbaya. deli nyuzi ntaiweka MK akinifunza namna ya kufanza hivo..
ReplyDeleteDeli nyuzi inapatikana kwa anuani hii http://dailynews-tsn.com/.
ReplyDeleteLAKINI MICHUZI MIE MBONA NAONA PICHA ZA MWANZONI NI BOMBA KULIKO ZA HIYO KAMERA MPYA?NINI TATIZO?
ReplyDeleteMichuzi hiyo nikon d70s, migiro kailipia nini,inakaribia milioni mbili thamani yake.
ReplyDeleteNikon D70S unaweza kuipata hata kwa Dola 800-900. Siyo ghali tena kwani ina mwaka tangu itoke na haikuuzwa kwa wingi kama walivyotazamia.
ReplyDeleteIla ina performance nzuri kuliko Rebel I(300D), easier to handle, better picture quality, wider flash angle and photo stability especially when taken with external flash. Only minus thing I can think of ni lack of vertical grip, unlike most Cannons.
Nadhani ni compromise nzuri kati ya bei na performance ukilinganisha na better quality EOS cameras.
Hao walioko kwenye neshino stedium mpya wamelipa kiingilio lakini au wanafaudu bure?
ReplyDeletehuyo beki wa yanga aliye mlingotini kama willy martin kimaumbile.
ReplyDeleterj, ingawa inglishi iz noti richebo, nashukuru kwa maoni kuhusu kamera. umenikuna kweli. unajua nikon rebel 300d lenzi yake haikawii kudata. ingawa kweli nikon 70d ni bomba zaidi, si uwongo kukamata kwake, hasa ukiwa umezoea eos, kidogo matata. umahiri wake wa flashi nimeuona usiku wa jana kwenye miss upanga (ona picha baadae kidogo). asante kwa utaalamu na kubadilishana mawazo. je unanishauri nikitoka hapa nikon 70d nipande wapi. je wewe watumia nini?
ReplyDelete