barabara ya morogoro kwenye mteremko wa jangwani ionekanavyo toka magomeni mapipa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 27, 2006

    Safi sana barabara hiyo, kasoro tu uchafu; mifuko ya plastiki, chupa za maji, maganda ya ndizi, magunzi ya mahindi ya kuchoma na mikojo kila kwenye kichaka kidogo.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 28, 2006

    hiyo barabara ni nzuri kuliko barabara nyingi sana za London. Isipokuwa uchafu unatakiwa udhibitiwe hapo

    ReplyDelete
  3. Ina foleni hiyo kutoka fire mpaka magomeni ni shughuli inabidi ubebe na chakula cha njiani kwa jinsi traffic jam inavyokuwa ndefu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...