Home
Unlabelled
motel afrique
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hivi hapo ni mtaa gani?
ReplyDeleteKaka Michuzi,
ReplyDeleteHii picha umepiga ukiwa kwenye jengo la Extelecomms!
Au nimekosea?
hiyo hoteli ni star ngapi?
ReplyDeletehapo ni mtaa wa kaluta na bridge, ni kweli picha imepigwa toka extelecoms house, na hii hoteli haijafunguliwa bado, hivyo sijui ni star ngapi. ikifunguliwa tu nitajibu
ReplyDeleteHapa chini ya Hotel zamani palikuwa na supermarket moja ambayo ilikuwa ni few katika enzi hizo za Mchonga, ukiingia lazima mgambo akufuate nyuma, usije ukafisha pipi au chokolete kwenye mapumbu. Pia mlangoni mgambo lazima akushachi...duuu tumetoka far....
ReplyDeleteMweeee mweee mweee kumbe Bongo ndo kumependeza hivyo!!!!!!!!!!!!!! Mweee!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteJuu Yangu umenena nilikwua nasoma comments za watu wote ila mmoja tu amecomment kuhus rangi ya Hotel jamani Njano?? binafsi naona sio good color maana njano na utalii talii haviendani ila labda picha lets wait maybe wataput something more to mkae it look as hotel!!!
ReplyDelete