ukiruka toka uwanja wa ndege wa johannesburg afrika kusini chini kuko hivi...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 28, 2006

    Kweli kuna tofauti ya kwetu na miji ya wenzutu hapo jburg panaonekana pamekaa kimpangilia kabisa sio Dar

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 28, 2006

    Sasa jamani mtalinganishaje J'burg na dar?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 28, 2006

    Anony wa 8:53PM,
    Sasa kwa nini tusilinganishe? Tatizo la Wabongo ni kuiga mambo yasiyofaa na kuacha ya maana. Kwa nini tusijifunze kwa wenzetu? Hata kama hatuwezi kujenga majumba kama ya J'burg je hata kupangilia mji ili uwe na mitaa inayoeleweka nako hatuwezi? Ni aibu Watanzania, tuna mahali pakuchukulia uzoefu lakini mambo yetu ni shaghalabaghala tu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 28, 2006

    Tafakuri nzito kabisa hii Michuzi. Hakuna namna ukaweza kuwaonyesha madiwani wa Dar na Meya wao picha hizi ili watuwekea mji katika mpangilio unao kubalika?

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 29, 2006

    Michuzi Ahsante kwa kutonyesha tofauti...Kwa mandela kumetulia babu nimekubali....michuzi tuwekee za Pretoria na Capetown, maana ile miji si mchezo jamani utadhani upo Europe!....must visit again..

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 29, 2006

    Kazi ya makaburu hiyo!Hamna kujenga hovyo,bila vibali,bila kuzingatia kanuni za ujenzi ukijidai kukiuka,kughushi au kuhonga tuu kazi unayo na tingatinga utaliona!!Yaani huko kwenye idara husika wamejaa kina maghufuli isipokuwa ni weupe!!Kwetu bongo maghufuli mmoja tu mwisho naye anachoka jamani baba wa watu!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 29, 2006

    hivi jamani mmeona picha za nchi zingine kama maeneo ya kibera, nairobi (kenya)?mtasema afadhali bongo, maanake huko nyumba zinajengwa na kinyesi cha binadamu.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 30, 2006

    wewe anony wa 7:26 AM, hayo mawazo yako ni ya kimaskini mno. Yaani kwa sababu Kibera hali yao ni mbaya ndio na sisi tuendelee kuwa katika hali ya kichovu? Hili ndilo tatizo la WaTZ, tuna afya mbovu basi tunajilinganisha na wagonjwa na kujiona sisi eti mambo yetu supa. Badilikeni jaribuni kujilinganisha na waliopiga hatua siyo kwa sababu kuna maskini zaidi yetu basi sisi tunakuwa matajiri.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...