jenerali ulimwengu akiwa na (toka shoto) marion elias, rukia mtingwa na miriam ikoa kwenye shindano la miss upanga jana usiku ambapo yeye alikuwa mgeni rasmi. habari na picha zaidi kesho...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 25 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 20, 2006

    Hivi Ulimwengu jamani tatizo lake la uraia lilishia wapi. Hebu mwenye taarifa kamili atuhabarishe hapa.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 20, 2006

    uraia alishapewa zamani

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 20, 2006

    Gazeti lake la rai lilimponza na inasemekana alimzulumu ben kiaina. Na pia ni rafiki mkubwa wa museveni na kagame.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 20, 2006

    Aisee huyo rukia ana kijungu

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 20, 2006

    jenerali nadhani ndiyo amekuwa na magazeti bora zaidi tanzania kuliko mtu yoyote. Ukijumlisha na kiti moto, ambacho nadhani ndiyo kilimletea makasheshe anastahili kupewa medali ya uandishi bora wa habari wakati tukitimiza miaka 50 ya uhuru, naomba michuzi kuwakilisha hoja.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 20, 2006

    Hongera Bwana Michuzi pamoja na mzee Mk, naona umeamua kutoka upya. Hongera sana, mambo yote under one roof kuangazia magazeti mpaka blog mbalimbali. Kaza buti tupo nyuma yako

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 20, 2006

    Blog imependeza sana Michuzi..safi sana.Pongezi kwa MK pia.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 20, 2006

    HAKI MICHUZI UNATISHA KAKA,MWEPESI KUJIFUNZA NA KUJARIBU MABADILIKO.HONGERA KUTOKA MOYONI!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 20, 2006

    MICHUSI UMEPENDEZA

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 20, 2006

    sasa michuzi umefika hadi brazil wamekurudisha bongo tena, nani atatupa visnepu vya kikwete na kina mengi tena sasa?

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 20, 2006

    Nikupongeze kwanza kwa mafanikio yanayozidi kukuandama kila kukicha. Ningeomba hiyo background nyeusi uibadilishe uweke nyingine. Hilo ni ombi langu kwani nyeusi inaumiza macho halafu inakuwa kama tunaangalia vitafunio.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 21, 2006

    Michuzi blogu imependeza. Tatizo tu tubadilishie background colour wakati wa kusoma comment. Nyeusi inatuongezea mkazo wa macho.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 21, 2006

    Michuzi hongera Good design but change background colour.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 21, 2006

    Michuzi
    Your blog is very popular! Just like I ask MK you just have to find a way to convert your skills into money.

    ReplyDelete
  15. ebwana eeeh hili blog kiboko yaani linakua kilasiku halafu linazidi kunoga keep the ball rolling bro

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 21, 2006

    Naona Jenerali alivyopendeza na hao vimwana hapo...nani alifanikiwa kutwaa taji la Miss Upanga tupe uhondo michuzi...

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 21, 2006

    washikaji hacheni kulalamika mbona bakigraundi hii ni sawa sawa na ya mwanzo kipi tofauti, hamna cha kuongea nini. fungeni midomo yenu mtakuja kusifia watu lini.kibaya mnaponda, kizuri mnaponda.hacheni ukoloni.

    keep it up playa.michuzi unatisha tunakufagilia mwanangu.

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 21, 2006

    kweli washikaji mmezidi kwa kupaka, kablogi kazuri sana tena sana tu. michuzi hapa umecheza karata. wamalize wabongo kwa mambo yako. sasa nakubali unatisha.Ongera michuzi pamoja na mk.kutesa kwa zamu.

    ReplyDelete
  19. Sasa MK umecheza! macho hayatatuuma tena kwenye kusoma maoni. Endelea kujenga na kugawa bure!

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 21, 2006

    Michuzi & Mk Big up..... thank you kwa kusikiliza ushauri wetu murua!

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 21, 2006

    Mimi namfagilia Jenerali aki ya mungu nikimuona huwa nai kama nimeona mtu aliyeelimika. Tungekuwa na watanzania kama mia moja kama jenerali sasa hivi tungekuwa tunapambana na mataifa makubwa siyo tu kimawazo na pia kitechnologia. Basi tu Mzee Beni alitaka kummaliza mara hee hili mara lile lakini ukweli utabaki kuwa ukweli na penye ukweli uongo utajitenga. Mungu ambaliki Jenerali.

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 21, 2006

    Hivi Miriam Ikoa naye anafanya kazi Vodacom?

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 22, 2006

    uongo mbaya mwanya na macho ya huyo Miriam Ikoa hakika ni kiburudisho na kivutio tosha, nadhani kama ningekuwa na uwezo na kujua status yake hususani juu ya maisha ya ndoa basi ningejitosa kujaribu bahati yangu. Na kama kupeleka posa basi lisingekuwa tatizo.Hakika ni kioo tosha.

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 23, 2006

    Utaowa wangapi wewe, kila mtakae mtia machoni ...unataka kutoa posa. Utolee posa mkono wako babu.

    ReplyDelete
  25. AnonymousMay 25, 2006

    kuna mtu kauliza kuhusu Miriam Ikoa kama yuko Vodacom,miriam aliacha kazi vodacom na kujiunga na New africa hotel lakini inasemakena nako ameacha na anafanya shughuli zake mwenyewe.ni binti mrembo bado anavutia kwa kweli.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...