Home
Unlabelled
jenerali
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivi Ulimwengu jamani tatizo lake la uraia lilishia wapi. Hebu mwenye taarifa kamili atuhabarishe hapa.
ReplyDeleteuraia alishapewa zamani
ReplyDeleteGazeti lake la rai lilimponza na inasemekana alimzulumu ben kiaina. Na pia ni rafiki mkubwa wa museveni na kagame.
ReplyDeleteAisee huyo rukia ana kijungu
ReplyDeletejenerali nadhani ndiyo amekuwa na magazeti bora zaidi tanzania kuliko mtu yoyote. Ukijumlisha na kiti moto, ambacho nadhani ndiyo kilimletea makasheshe anastahili kupewa medali ya uandishi bora wa habari wakati tukitimiza miaka 50 ya uhuru, naomba michuzi kuwakilisha hoja.
ReplyDeleteHongera Bwana Michuzi pamoja na mzee Mk, naona umeamua kutoka upya. Hongera sana, mambo yote under one roof kuangazia magazeti mpaka blog mbalimbali. Kaza buti tupo nyuma yako
ReplyDeleteBlog imependeza sana Michuzi..safi sana.Pongezi kwa MK pia.
ReplyDeleteHAKI MICHUZI UNATISHA KAKA,MWEPESI KUJIFUNZA NA KUJARIBU MABADILIKO.HONGERA KUTOKA MOYONI!
ReplyDeleteMICHUSI UMEPENDEZA
ReplyDeletesasa michuzi umefika hadi brazil wamekurudisha bongo tena, nani atatupa visnepu vya kikwete na kina mengi tena sasa?
ReplyDeleteNikupongeze kwanza kwa mafanikio yanayozidi kukuandama kila kukicha. Ningeomba hiyo background nyeusi uibadilishe uweke nyingine. Hilo ni ombi langu kwani nyeusi inaumiza macho halafu inakuwa kama tunaangalia vitafunio.
ReplyDeleteMichuzi blogu imependeza. Tatizo tu tubadilishie background colour wakati wa kusoma comment. Nyeusi inatuongezea mkazo wa macho.
ReplyDeleteMichuzi hongera Good design but change background colour.
ReplyDeleteMichuzi
ReplyDeleteYour blog is very popular! Just like I ask MK you just have to find a way to convert your skills into money.
ebwana eeeh hili blog kiboko yaani linakua kilasiku halafu linazidi kunoga keep the ball rolling bro
ReplyDeleteNaona Jenerali alivyopendeza na hao vimwana hapo...nani alifanikiwa kutwaa taji la Miss Upanga tupe uhondo michuzi...
ReplyDeletewashikaji hacheni kulalamika mbona bakigraundi hii ni sawa sawa na ya mwanzo kipi tofauti, hamna cha kuongea nini. fungeni midomo yenu mtakuja kusifia watu lini.kibaya mnaponda, kizuri mnaponda.hacheni ukoloni.
ReplyDeletekeep it up playa.michuzi unatisha tunakufagilia mwanangu.
kweli washikaji mmezidi kwa kupaka, kablogi kazuri sana tena sana tu. michuzi hapa umecheza karata. wamalize wabongo kwa mambo yako. sasa nakubali unatisha.Ongera michuzi pamoja na mk.kutesa kwa zamu.
ReplyDeleteSasa MK umecheza! macho hayatatuuma tena kwenye kusoma maoni. Endelea kujenga na kugawa bure!
ReplyDeleteMichuzi & Mk Big up..... thank you kwa kusikiliza ushauri wetu murua!
ReplyDeleteMimi namfagilia Jenerali aki ya mungu nikimuona huwa nai kama nimeona mtu aliyeelimika. Tungekuwa na watanzania kama mia moja kama jenerali sasa hivi tungekuwa tunapambana na mataifa makubwa siyo tu kimawazo na pia kitechnologia. Basi tu Mzee Beni alitaka kummaliza mara hee hili mara lile lakini ukweli utabaki kuwa ukweli na penye ukweli uongo utajitenga. Mungu ambaliki Jenerali.
ReplyDeleteHivi Miriam Ikoa naye anafanya kazi Vodacom?
ReplyDeleteuongo mbaya mwanya na macho ya huyo Miriam Ikoa hakika ni kiburudisho na kivutio tosha, nadhani kama ningekuwa na uwezo na kujua status yake hususani juu ya maisha ya ndoa basi ningejitosa kujaribu bahati yangu. Na kama kupeleka posa basi lisingekuwa tatizo.Hakika ni kioo tosha.
ReplyDeleteUtaowa wangapi wewe, kila mtakae mtia machoni ...unataka kutoa posa. Utolee posa mkono wako babu.
ReplyDeletekuna mtu kauliza kuhusu Miriam Ikoa kama yuko Vodacom,miriam aliacha kazi vodacom na kujiunga na New africa hotel lakini inasemakena nako ameacha na anafanya shughuli zake mwenyewe.ni binti mrembo bado anavutia kwa kweli.
ReplyDelete