jk akipokew na chirac paris akiwa katika ziara yake ya ughaibuni. watu wa londoni, stockholm na dc kaeni mkao wa kula

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 17, 2006

    Yes Jk nakuaminia sana

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 17, 2006

    kikwete anaonekana sharp sana kwenye hizi suti zake, si mchezo.

    Naona tumewapush waingereza pembeni kidogo kwa sababu hii ndiyo safari yake ya kwanza ulaya na ametua paris, lazima kina blair na malkia wanauma meno sasa hivi, wakijilaumu kwa kutuwekea ngumu na ile rada! what goes around come around baby!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 17, 2006

    tanzania tuna kibri pamoja na umaskini wetu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 17, 2006

    Yes, Presidaa!Aminiaaaaaaaaaaa!Sasa huko ni kuanza kunenepa au buleti-prufu?NO!SWETI!Tunakuaminia!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 17, 2006

    katika report iliyotolewa na ikulu ni kwamba rais kikwete alikuwa na majidiliano na french secretary for international cooperation.hakuna statement ya majidiliano na rais chirac!je huko marekani atakutana na Bush?

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 17, 2006

    Wewe ulitegemea huyu mzee aongee naye nini?

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 18, 2006

    chirac kachoka, sijui kapokea vingunge wangapi leo.
    landani tunamsubiri BBC asijekuwa kama sumaye tu tafadhali,lugha hafifu na ya kunyofoa nyofoa!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 18, 2006

    Ratiba yake Marekani imekuwa siri hivi nasikia watu wa ubalozi wanahaha maana wananchi wanakuja kudai pasipoti zao kwa rais na pia zile $35 tulizokatwa kama ushuru wa kutuletea pasi zetu mpya majumbani kwetu leooo chapachapa denguuu

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 19, 2006

    muhidin wewe hukupata picha ya JK na miss mchele(Rice) DC walikuwa wamependeza sana ! huyu mheshimiwa sijui aliomba ? ,maana haaminiki huyu!

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 20, 2006

    Kwani kama kamuomba rice kuna ubaya gani hizo ni personal interest zake lakini maslahi y wabongo anayapa kipaumbele tu....

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 20, 2006

    sidhani kama mchele angekuwa ameolewa na 'brother' kama wangempa nafasi kama hizi, ingecomplicate sana career yake, marekani bwana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...