Home
Unlabelled
nyumbani ni nyumbani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ngoma bk hiyo...piga ua
ReplyDeleteMICHUZI
ReplyDeleteTunajua uko ughaibuni kwa hiyo usijifagilie fagilie kila siku kwamba uko huko, umeshatuambia wiki nzima hii tushasikia
ZEMARCOPOLO
hivi watz matakuja lini kuridhika japo kidogo maana tunajua binadamu haridhiki hata apewe nini?? lakini basi japo kidogo basi...mliomba michuzi atoe picha
ReplyDeletena kuwapa japo picha kidogo ya mambo yaendeleayo huko sasa mwataka nini tena? UHAI WAKE?
michuzi sina la zaidi hapo wewe ni mtu pekee unaweza kutuburudisha kwa njia ya picha na maelezo ''current Issues'' sasa tuseme nini tena michuzi zaidi ya SHUKRANI?
Ni kweli kabisa Zemarcopolo. Kila siku Brazil Brazil utadhani mara yake ya kwanza kwenda Ughaibuni. Hee, we are tired of Brazil Brazil. Leta mpya. Wiki nzima!!!!!!!!!!! Una bore sasa.
ReplyDeleteHao hapo juu ndio Binadamu hawakosekani sehemu yeyot wapo tu. Dunia ya musa tunaogolea humu humu wote hamkosekani.
ReplyDeleteHawa Wasegeju wametoka wapi nao? Hii blogu ni ya Michuzi, ana hiari yakuweka kile anachotaka ninyi ni akina nani hadi muanze kumpangia kitu chakuweka humu? Laleni mbele huko kama anakuboa kwenda kanywe mataputapu sio kuleta comment za ajabu ajabu humu. Michuzi malizia mwezi huu kwa kuweka picha za Brazil tu ili hao Wakalamba waboreke zaidi pengine watakoma kuja humu na blogu kubaki ya watu wanaothamini mchango wako.
ReplyDeleteMzee Zemacopolo nakuaminia endeleza mjomba shusha data tu mjomba. Nyie wengine,, Msitake kutishia maisha au sio wajomba,, kama hamtaki comments basi ondoeni hii sehemu ya comments watu waangalie picha tu. Lakini kila mtu ana uhuru wa kusema chochote, kwa iyo msiwatukane wenzenu hapo juu bila sababu.
ReplyDeletethe grill umenifurahisha sana hawa watu hawakosekani kila mahala. lakini wakianza za kuleta tutawakomesha unakumbuka tulivyowaelekeza mwaipopo na makene mpaka sasa wameacha kutukana humu bloguni.
ReplyDeletesasa hivi majamaa wamekuwa na adabu kabisa.
michuzi raha jipe mwenyewe usisubiri raha kupewa na mtu, kama raha yako kujifagilia we jifagilie bwana hakudai mtu.
Ama kweli debe tupu........
ReplyDeleteAno hapo juu usijidanganye, huwezi kumkomesha Mwaipopo na Makene, wote tumo humu humu ila na sisi tumeamua kutumia Ano kama nyie wapuuzi wa mawazo.
Blogu:
ReplyDeleteHuyu jamaa "ZERMACOPOLO" ndiyo huyo huyo mmoja wala msiyumbishwe, mimi namjua sana huyu mtu nimesoma naye tangia primary ana tabia hii hii ya kuzugazuga, ni kweli kabisa awe amiesaini blue au aandike chini ni huyu huyu mmoja hakuna mwingine tusidanganyane hapa wote watu wazima.
Hii picha ni ya warembo. Discussion zenu binafsi tafuteni pahala pake. Mjifunze kudiscuss juu ya picha na si vinginevyo...
ReplyDeletematatizo matupu uzuri sio sura na tabia pia watu wengine walikuwa wanafunzi bora wa kupika chakula cha mwalimu mkuu pamoja na ulalo
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteWeka picha za Brazil mpaka hao wanaokuonea donge wajinyonge. Hawakulazimishwa kutembelea blog yako. Mijitu mingine bwana! Badala ya kudiscuss hii picha wanaleta Ushe@#%. Big Up michuzi. Tunamwigie picha siye tunaokufagilia
Kama huna cha kusema kuhusu picha shut tha fuck up!!!! Supa sta kip doin wat ur doin.
ReplyDeleteKama huna cha kusema kuhusu picha shut tha fuck up!!!! Supa sta kip doin wat ur doin.
ReplyDeleteHuyo cheusi mangara mzuri kishenzi...
ReplyDeleteNilishakula huyo
ReplyDeleteha ha ha ha sasa manony mnatukanana wakati hamjuani teh teh teh yaani anony wa kwanza hasira zinapanda anatukana wee anafuata anony wa pili mhh kweli umeshatukana jamii iliyokuzunguka unayoijua yotee ukaona uje uimalizie kwenye blog yetu tukufu....maskini weee watz tunakwenda wapi jamani?
ReplyDeleteMICHUZI NAYEMJUA MIMI HAWEZI KUKASIRIKA KWA UJINGA HUUU ALIYATEGEMEA HAYAA
ReplyDeleteKEEP ON BROO....WE LOVE U MICHUZI!!!
asante tanzanian_oslo. ndo kwanza nimetua bongo, na ntafanya hivyo punde
ReplyDeleteWee Mi soup leta mambo kama umeshatua Bongo ni bora manake tumemiss uhondo. Ughaibuni inatosha sasa heeeeeeeeeeeeee.
ReplyDeleteHivi huyu ndio alikuwa miss tanzania kweli? Basi basi bwana.
ReplyDeletesasa ukisikia msichana wa kimakonde ndiyo huyo, yupo bomba sana jamani, nashani kama atajitunza akiwa hivyo basi nina uhakika atakuwa na soko kubwa sana kwa wachukia mikorogo.
ReplyDeleteHuyu ni mtanzania halisi(mwafrika halisi)ingawa bado rangi yake haijafikia ya bendera yetu.Lakini ukipata bahati/laana ya kuniona mimi live!Huyo dada kwangu ni mweupe jamani,weusi tupo ila ndio hatuna bahati ya kuonana na michuzi!Kama huyu ni mweusi,wanubi ni rangi gani?
ReplyDelete